Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hela yanga hawana, Triple C n ghali sana.[emoji116]View attachment 1532276
Hata Simba wakati wapo kwenye mfumo wa kijima, wataalam wao walikuwa wanagombana sana na kina Hassan Dallal na kina Kilomoni na Kaduguda, huo ni mfumo usiyo jali nani mwenye uelewa na kitengo husika.kama kweli senzo kakimbia simba sababu ya uamuzi wa kuhusu morrison na issue ya sven then he has to brace himself for a bumpy ride,mfumo wa yanga kila siku atagombana na kina msola na mwakalebela,tupo hapa aseme tu kapewa maslahi makubwa yanga
ndicho hicho ninachosema kule yeye siyo Ceo ni katibu mkuu atapata shida sana ila nahisi ana illusions kichwani kwake kwamba yeye kaisadia simba na kaona unyonge wa yanga anahisi atawasaidia na jamaa ni mtu wa misimamo mikali kule itakuwa balaa kali,hahaha,ila simba bana yaani kweli unamleta morrison na mshahara wa usd 10,000 kweli ?Yanga hawana ela ya kumlipa Senzo. Na pia hawana cheo cha CEO, atakuwa katibu mkuu, na katibu wa Yanga hana nguvu.
Sasa Senzo kuondoka kwenda kusaini Yanga kuna uhusiana vipi na Usajili wa MorisonMimi ni shabiki mkubwa wa Simba SC ila sielewi kwanini bado tunaendekeza utani wa jadi hadi kwenye maswala ya msingi kama haya
Sijaona umuhimu wa kuwahi kumuonesha B Morrison wakati bado kuna mgogoro unaosubiri maamuzi ya TFF
Matumizi mabaya ya ela.ndicho hicho ninachosema kule yeye siyo Ceo ni katibu mkuu atapata shida sana ila nahisi ana illusions kichwani kwake kwamba yeye kaisadia simba na kaona unyonge wa yanga anahisi atawasaidia na jamaa ni mtu wa misimamo mikali kule itakuwa balaa kali,hahaha,ila simba bana yaani kweli unamleta morrison na mshahara wa usd 10,000 kweli ?
Yanga wanaanza kuingia kwenye mabadiliko rasmi kuanzia 31.8.2020. Ndiyo phase ya kwanza inaanza hivyo Yanga siyo wajinga au huyo CEO siyo mbumbumbu kukubali kutoka kwenye neema akenda jehanamuYanga hawana ela ya kumlipa Senzo. Na pia hawana cheo cha CEO, atakuwa katibu mkuu, na katibu wa Yanga hana nguvu.
Sasa Senzo kuondoka kwenda kusaini Yanga kuna uhusiana vipi na Usajili wa Morison
Mkuu kwani hao wawili tu humo ndani hamna masalia. Mtu kama Manara mnamuamini kwa uwezo wake?Kutakuwa na tatizo kutoka kwa watu walio kuwa wanapiga pesa kipindi Simba ipo kwenye mfumo wa kijima, sasa hivi huo mfumo umewatema rasmi. Sasa wanamhujumu Mwamed kwa ushauri wa kumuingiza king.
Kina Hanspope na Magori
Huenda Senzo kanusa mafanikio na ule mpango wa Yanga na La Liga kama upo kweli.Yanga wanaanza kuingia kwenye mabadiliko rasmi kuanzia 31.8.2020. Ndiyo phase ya kwanza inaanza hivyo Yanga siyo wajinga au huyo CEO siyo mbumbumbu kukubali kutoka kwenye neema akenda jehanamu
Kwahiyo anaenda kujitolea mkuu?Yanga hawana ela ya kumlipa Senzo. Na pia hawana cheo cha CEO, atakuwa katibu mkuu, na katibu wa Yanga hana nguvu.
senzo kwa format ya yanga atalia na majuto juu
31.8.2020. Ndiyo phase ya kwanza inaanza ya Yanga kuanza kuingia kwenye mfumo wa kujiendesha kisasa na mchango wa CEO ndani ya mfumo mpya kwa Yanga ni muhimu na ana mipango yooteSanaaaaaa kwa sabau mfumo wa Yanga hauko sawa sawa watamtoa mbio ikifika Dec akiwepo Mungu mkubwa
Kuna ka ukweli mkuu maana huyo mtu ni professional wa mambo ya utawala kwenye football industryHuenda Senzo kanusa mafanikio na ule mpanga wa Yanga na La Liga kama upo kweli.
Manara ana mapungufu mengi ila sema tu kama timu wanachojali ni uhamasishaji tuMkuu kwani hao wawili tu humo ndani hamna masalia. Mtu kama Manara mnamuamini kwa uwezo wake?
Lalliga ni nembo kubwa sana kwenye ulimwengu wa soka, hawajawahi kushindwa pasipo makando kandoInawezekana vipi mtu anaejielewa kutoka Simba ya wakati huu akaenda Yanga?
Hiyo pesa Yanga wanayompa kama mshahara si bora wangemlipa Morrison aendelee kuwachezea kwenye timu yao?!
Morrison ni muhuni hawezi kukaa sehemu yenye ustaarabu labla kwa wahuni wenzie akina manara na hanspope ndo atadumu naoInawezekana vipi mtu anaejielewa kutoka Simba ya wakati huu akaenda Yanga?
Hiyo pesa Yanga wanayompa kama mshahara si bora wangemlipa Morrison aendelee kuwachezea kwenye timu yao?!