Senzo Mbatha ajiuzulu Simba na kusaini Yanga

Senzo Mbatha ajiuzulu Simba na kusaini Yanga

MPWAAAAAAAAAAA
WAPWAAAAAAA NAPITATU
IMG_20200809_175407_935.jpg

HARAMU HULIWA NA HARAMU
 
kama kweli senzo kakimbia simba sababu ya uamuzi wa kuhusu morrison na issue ya sven then he has to brace himself for a bumpy ride,mfumo wa yanga kila siku atagombana na kina msola na mwakalebela,tupo hapa aseme tu kapewa maslahi makubwa yanga
Hata Simba wakati wapo kwenye mfumo wa kijima, wataalam wao walikuwa wanagombana sana na kina Hassan Dallal na kina Kilomoni na Kaduguda, huo ni mfumo usiyo jali nani mwenye uelewa na kitengo husika.
 
Yanga hawana ela ya kumlipa Senzo. Na pia hawana cheo cha CEO, atakuwa katibu mkuu, na katibu wa Yanga hana nguvu.
ndicho hicho ninachosema kule yeye siyo Ceo ni katibu mkuu atapata shida sana ila nahisi ana illusions kichwani kwake kwamba yeye kaisadia simba na kaona unyonge wa yanga anahisi atawasaidia na jamaa ni mtu wa misimamo mikali kule itakuwa balaa kali,hahaha,ila simba bana yaani kweli unamleta morrison na mshahara wa usd 10,000 kweli ?
 
Mimi ni shabiki mkubwa wa Simba SC ila sielewi kwanini bado tunaendekeza utani wa jadi hadi kwenye maswala ya msingi kama haya

Sijaona umuhimu wa kuwahi kumuonesha B Morrison wakati bado kuna mgogoro unaosubiri maamuzi ya TFF
Sasa Senzo kuondoka kwenda kusaini Yanga kuna uhusiana vipi na Usajili wa Morison
 
ndicho hicho ninachosema kule yeye siyo Ceo ni katibu mkuu atapata shida sana ila nahisi ana illusions kichwani kwake kwamba yeye kaisadia simba na kaona unyonge wa yanga anahisi atawasaidia na jamaa ni mtu wa misimamo mikali kule itakuwa balaa kali,hahaha,ila simba bana yaani kweli unamleta morrison na mshahara wa usd 10,000 kweli ?
Matumizi mabaya ya ela.
 
Yanga hawana ela ya kumlipa Senzo. Na pia hawana cheo cha CEO, atakuwa katibu mkuu, na katibu wa Yanga hana nguvu.
Yanga wanaanza kuingia kwenye mabadiliko rasmi kuanzia 31.8.2020. Ndiyo phase ya kwanza inaanza hivyo Yanga siyo wajinga au huyo CEO siyo mbumbumbu kukubali kutoka kwenye neema akenda jehanamu
 
MSIOJUA MORROSON KNB ACHEZI TENA YULE KAMA EMELY TU
SASA UNAPOKUTA MS.AFRICA ANAJUA HESHIMA YA NCHI YAKE ANAJUA HESHIMA YA SOKA LA NCHI YAKE NA VIONGOZI WA CHAMA CHA SOKA

AAWEZI KUFANYAKAZI NA MHUNI KAMA.MORRISON ANAHAKI KABISA

KUENDELEA KUBAKI SIMBA NA MORRISON N KUZALILISHA NCHI YAKE.CHAMA CHA SOKA NA WAPENZI WA SOKA WA S.AFRICA KWA UJUMLA

ALICHOFANYA BOSS N KULINDA MAADILI SIMPLE NA KUHESHIMU MIIKO YA ADABU

NB
NIWAKUMBUSHE SIMBA MTAKUMBUKA SIKUYA JANA NANKUIJUTIA HUKO MBELENI STY TUNED
 
Sasa Senzo kuondoka kwenda kusaini Yanga kuna uhusiana vipi na Usajili wa Morison

For the sake of discussion mimi nilijibu baada ya kusoma between the lines hapo Mo alivyoandika

Na niliongelea swala la kilichofanyika jana kwa Morrison na nilielezea kwa jinsi ambavyo sijaridhika na namna ndugu zangu wa Simba walivyolishughulikia

Kulikua na namna bora zaidi ya kufanya tulichofanya bila kuacha majeraha na bado tukatoka washindi(on top)

Ukianza kuona mpaka Mo anajaribu kuzima moto namna hio ndo majeraha ninayoyaongelea

I hope huu upepo utapita tu

(Uhusiano wa Senzo kuondoka na BM kuingia sijausema, labda wewe uniambie)
 
Kutakuwa na tatizo kutoka kwa watu walio kuwa wanapiga pesa kipindi Simba ipo kwenye mfumo wa kijima, sasa hivi huo mfumo umewatema rasmi. Sasa wanamhujumu Mwamed kwa ushauri wa kumuingiza king.

Kina Hanspope na Magori
Mkuu kwani hao wawili tu humo ndani hamna masalia. Mtu kama Manara mnamuamini kwa uwezo wake?
 
Yanga wanaanza kuingia kwenye mabadiliko rasmi kuanzia 31.8.2020. Ndiyo phase ya kwanza inaanza hivyo Yanga siyo wajinga au huyo CEO siyo mbumbumbu kukubali kutoka kwenye neema akenda jehanamu
Huenda Senzo kanusa mafanikio na ule mpango wa Yanga na La Liga kama upo kweli.
 
Sanaaaaaa kwa sabau mfumo wa Yanga hauko sawa sawa watamtoa mbio ikifika Dec akiwepo Mungu mkubwa
31.8.2020. Ndiyo phase ya kwanza inaanza ya Yanga kuanza kuingia kwenye mfumo wa kujiendesha kisasa na mchango wa CEO ndani ya mfumo mpya kwa Yanga ni muhimu na ana mipango yoote
 
Inawezekana vipi mtu anaejielewa kutoka Simba ya wakati huu akaenda Yanga?

Hiyo pesa Yanga wanayompa kama mshahara si bora wangemlipa Morrison aendelee kuwachezea kwenye timu yao?!
 
Inawezekana vipi mtu anaejielewa kutoka Simba ya wakati huu akaenda Yanga?

Hiyo pesa Yanga wanayompa kama mshahara si bora wangemlipa Morrison aendelee kuwachezea kwenye timu yao?!
Lalliga ni nembo kubwa sana kwenye ulimwengu wa soka, hawajawahi kushindwa pasipo makando kando
 
Inawezekana vipi mtu anaejielewa kutoka Simba ya wakati huu akaenda Yanga?

Hiyo pesa Yanga wanayompa kama mshahara si bora wangemlipa Morrison aendelee kuwachezea kwenye timu yao?!
Morrison ni muhuni hawezi kukaa sehemu yenye ustaarabu labla kwa wahuni wenzie akina manara na hanspope ndo atadumu nao
 
Back
Top Bottom