SENZO: Mimi Bado ni Mwananchi Sijaondoka Yanga kwa Ubaya, Akanusha kuchukizwa na Usajili wa Morrison

Kurunzi

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2009
Posts
9,753
Reaction score
10,747
#Kutoka_mwanasport

Saa chache baada ya uongozi wa Yanga kutangaza kwamba aliyekuwa Ofisa Mtendaji wao Mkuu Senzo Mazingiza anaondoka mwenyewe ameibuka na kukanusha juu ya kuondoka kwake kuhusishwa na ujio wa mshambuliaji Bernard Morrison.

Akizungumzia ishu ya kupishana mara mbili na kiungo mshambuliaji Bernard Morrison Senzo amesema wala hana tatizo na usajili huo na kwamba alihusika mara zote kumsajili Mghana huyo katika klabu zote.

"Niliwahi kuwaambia ninyi Mwanaspoti juu ya Morrison, bahati mbaya hapa Tanzania uongo hupewa nafasi kubwa kusambaa, nilisema nilipokuwa Simba nilihusika kumleta Morrison pale lakini bahati mbaya wakati anafika mimi nilikuwa naondoka," amesema Senzo

"Nikiwa hapa Yanga pia imekuwa hivyohivyo, viongozi wenzangu wanajua jinsi tulivyoshirikiana kumleta huyu Morrison, huyu ni mchezaji bora bila kuangalia mambo yake yanayosemwa.

"Nina imani kubwa Morrison atakwenda kuwafanyia kazi kubwa wananchi ambao wamempokea tena bila kinyongo, hata mimi nitafarijika nikisikia Morrison akiwa anafanya kazi bora hapa.

"Mimi bado ni mwananchi hapa nitaendelea kuwasailiana na viongozi wenzangu, sijaondoka Yanga kwa ubaya kabisa ndio maana mmekuwa mkiniona hapa katika kazi zote, bahati mabya hili lilitakiwa niliamue sasa wakati ambao pia mkataba ulikuwa unakwisha.
 
Ngoja waje wasemaji wa maisha ya watu

Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
 
Amemaliza kila kitu, wale wazee wa kutabiri uwanja ni wao watafute maneno mengine ya kumlisha
 
Mandonga FC.

CAF mechi mbili chali
punguza kukariri jombaa! hata mwanzo wa ligi mliponda usajili wa Mayele ila mkaumbuka , mechi na watani mlipiga ramli kama hizi mkapasuliwa CCM Kirumba sasa endeleeni kuota tu wananchi gari imewaka tunasonga mbele tu daima nyuma mwiko.

Kwa taarifa yako tu sio mechi mbili tu tutacheza na kombe la CAF tutabeba na kufuta rekodi zote za Kolo FC za miaka yote mark my words! !

Hii ni Yanga ya Nabi ya makombe sio ile iliyotolewa na River United kwa kucheza bila nyota wake wapya ikafungwa mara mbili basi mmeshikilia hapo hapo tu mkijifariji kwa kuwa na timu mbovu inayoongozwa na akili za demu na mkakosa kila kitu mwaka huu hadi kupewa zawadi ya kubebwa ya beki bora wakati ukuta wa Yanga ndo ulioruhusu magoli machache na walistahili kutoa beki bora!

na mechi ya ngao ya jamii yaja mjiandae kukaba Mayele, Morisson , Ki Aziz, Kambole na Feisal majina yote hatari mno mkiyasikia mnaharisha kwa hofu! na tutawapasua tena na nitarudi kukusaka humu JF!
 
Ama huyu jamaa ni mwongo au yanga wamejaa vilaza kama yeye alihusika kumsajii Morison imekuwaje yanga wakashindwa kesi case Kwa sababu malalamiko ya yanga yalikuwa juu ya mkataba lakini sio Morison kusajiliwa ndani ya mkataba
 
Huyo Ni professional, hawezi kuzungumza mabaya ya club. Kuzungumza mabaya ya Klabu Ni kujiharibia career yako , kwani Klabu nyingine zitaogopa kuwa hayo uliyafanya kwa Klabu uliyotoka unaweza kuyafanya kwao pia.

Bado Sana vilabu vyetu kuwa na Hawa watendaji kutoka nje. Hawapo tayari kula mshahara wa bure wakati wanajua kazi yao inafanywa na mtu mwingine, ila mambo yakienda vibaya itaonekana wao ndio wamefeli. Kwa hiyo Sio ajabu aliondoka Simba na Sasa anaondoka Yanga.
 
Dah...! Ndani Ya Muda Mfupi Utopolo Wapo kwenye Hali ngumu.

Mara Kambi Ya majuu imeshindikana hivyo Wapo KIMBIJI,Mara harufu Ya Nnya,Mara Bw Ngowi kawaletea Mijezi haieleweki Na Sasa Senzo anasepa..!

Wakati huo huo Mnyama anamalizia Pre season huko nchi Za Watu..!
Yaani mambo Bam Bam..UNSTOPABLE..!
 
punguza kukariri jombaa! hata mwanzo wa ligi mliponda usajili wa Mayele ila mkaumbuka , mechi na watani mlipiga ramli kama hizi mkapasuliwa CCM Kirumba sasa endeleeni kuota tu wananchi gari imewaka tunasonga mbele tu daima nyuma mwiko.

Kwa taarifa yako tu sio mechi mbili tu tutacheza na kombe la CAF tutabeba na kufuta rekodi zote za Kolo FC za miaka yote mark my words! !

Hii ni Yanga ya Nabi ya makombe sio ile iliyotolewa na River United kwa kucheza bila nyota wake wapya ikafungwa mara mbili basi mmeshikilia hapo hapo tu mkijifariji kwa kuwa na timu mbovu inayoongozwa na akili za demu na mkakosa kila kitu mwaka huu hadi kupewa zawadi ya kubebwa ya beki bora wakati ukuta wa Yanga ndo ulioruhusu magoli machache na walistahili kutoa beki bora!

na mechi ya ngao ya jamii yaja mjiandae kukaba Mayele, Morisson , Ki Aziz, Kambole na Feisal majina yote hatari mno mkiyasikia mnaharisha kwa hofu! na tutawapasua tena na nitarudi kukusaka humu JF!
"jazba na mihemko ni vitu vibaya sana, usimalize maneno, hao utakaokutana nao wamejiandaa pia, ushajiuliza kwa nini PSG hawachukui Uefa?"
 
Back
Top Bottom