Senzo Mthethwa yupo hai

Hizo ni rumors tu, Senzo hayupo duniani, hata rafiki yake kelly khumalo alithibitisha.

Ushahidi wa polisi nao upo kutokana na mauwaji yake yaliyofanywa na Longwe
 
Hizo ni rumors tu, Senzo hayupo duniani, hata rafiki yake kelly khumalo alithibitisha.

Ushahidi wa polisi nao upo kutokana na mauwaji yake yaliyofanywa na Longwe
Acha kupotosha wewe! Wewe unamzungumzia Senzo mchezaji wa mpira, si muimbaji wa Reggae. Hivi huoni aibu kudanganya watu. Alafu unasema Kelly Khumalo. Who is Kelly Khumalo? Yaani unadanganya hadi unajionea aibu mwenyewe.
 
Nadhani ungepeleka hoja zako ktk uzi uliotangulia. Mkuu, huwa mnaongelea mambo gani na huyo Senzo wako?
Msalimie sana Senzo, mwambie tuna mmiss sana!
 
Acha upumbavu wewe hebu tupia namba yake hapa tuanze kuwasiliana nae usidhani kila mtu ni mvuta bange kama wewe sisi sio mafara kama ulivyo wewe uongo peleka kwenye siasa sio hapa
Acha kupotosha wewe! Wewe unamzungumzia Senzo mchezaji wa mpira, si muimbaji wa Reggae. Hivi huoni aibu kudanganya watu. Alafu unasema Kelly Khumalo. Who is Kelly Khumalo? Yaani unadanganya hadi unajionea aibu mwenyewe.
 
msipende kushambulia mtu bila kutafiti ni kweli SENZO hajafariki kama wengi tulivyoaminishwa.
 
Huku unasema kapoteza sauti huku unasema unawasiliana naye kwa simu...!!!!

Utakuwa matatizo wewe.
 
Hizo ni rumors tu, Senzo hayupo duniani, hata rafiki yake kelly khumalo alithibitisha.

Ushahidi wa polisi nao upo kutokana na mauwaji yake yaliyofanywa na Longwe
Boss Senzo Meyiwa alikua goalkeeper namba moja wa Amabhakan’ya,Orlando Pirsates na Bafana bafana na akiwa na mahusiano na muigizaji Kelly Khumalo(aliigiza kama Sunay kwenye Rythm City mwanzon).Aliuawa kwa kupigwa risasi nyumbani kwa Kelly.Senzo Mtethwa alikua mwanamuziki na hakuwahi semwa kua na mahusiano na Kelly
 
amekufa miaka mingi sana, tena aliuliwa na lucky dube, huyo alieko hai atakuwa mzimu wake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…