Dripboy
JF-Expert Member
- Mar 22, 2019
- 3,178
- 4,609
Hizo ni rumors tu, Senzo hayupo duniani, hata rafiki yake kelly khumalo alithibitisha.Nimeona kuna uzi unauliza kama Senzo Mthethwa, msanii wa reggae wa Afrika kusini aliyetamba miaka ya 90 kama yu hai ama amefariki. Senzo yupo hai. Naongea hili kwa ujasiri kabisa, kwa kuwa mimi ni mmoja ya watu wanaowasiliana na Senzo mara mojamoja kwa simu.
Ni kwamba, Senzo alikuwa anaumwa sana hali iliyomfanya apoteze sauti alipokwenda Malawi kwenye tour ya music 1999. Licha ya hivyo, ameweka documentary yake youtube kukanusha kwa uzushi uliokuwepo kwamba alipigwa risasi, mara lile, mara hili.
Sasa kuna jamaa kwenye huo uzi uliobandikwa kumuhusu Senzo, anachangia kuwa ameuawa 2015, inaonesha hadi mishipa inamtoka japo simuoni na ananukuu maneno yake kabla ya kuuawa na kuna baadhi ya wavivu wanaamini umbea wake. Maana kama jambo hulijui na unalisema, huo ni umbea. Ni vema jambo kama hulijui, ukae kimya kuliko kupotosha. Na sisi watanzinia ni wavivu mno wa kutafuta ukweli hata kama upo wazi. Narudia, ni wavivu mno hata kwa vitu vilivyowazi
Senzo yupo hai.
Ushahidi wa polisi nao upo kutokana na mauwaji yake yaliyofanywa na Longwe