Senzo: Soka la Tanzania nimejifunza kufanya kazi mazingira hayakuruhusu kuwa huru 100%

Senzo: Soka la Tanzania nimejifunza kufanya kazi mazingira hayakuruhusu kuwa huru 100%

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
😁😁😁 tutoke huku mrembo twende jukwaa la 🇰🇪 mzee wako RAO analalamika mmemkimbia . Hustler Ruto anampelekea moto kama mandonga vile 👊👊👊👊
 
[emoji16][emoji16][emoji16] tutoke huku mrembo twende jukwaa la [emoji1139] mzee wako RAO analalamika mmemkimbia . Hustler Ruto anampelekea moto kama mandonga vile [emoji109][emoji109][emoji109][emoji109]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] khaaaah.
 
Sijawahi kuelewa huwa wanafata nn Bungeni
Mimi huwa nabaki nawashangaa watu ninaowaheshimu wanaposhindwa kuelewa vitu vidogo vidogo na kuleta ushabiki wa kitoto. Hapo Senzo amefumba nini hadi ujifanye mweupe kiasi hicho?
"Siku nchi ikitenganisha siasa na michezo, mpira utakwenda mbali sana". Hili ni geni halionekani kwenye soka la nchi hii jinsi wanasiasa wanavyojaribu kuteka soka kwa manufaa yao ya kisiasa? Ni nchi gani uliwahi kusikia kiongozi wa soka wakati wa uchaguzi mkuu wa kisiasa anasimama na kumponda mmoja wa Wagombea kama alivyofanya Karia kwa Tundu Lissu mwaka 2020?
Siku ya Yanga day mgeni rasmi makamu mwenyekiti wa Chama tawala, siku ya Simba day mgeni mashuhuri katibu wa itikadi na uenezi wa Chama tawala na vikorombwezo kibao vya kichama. Badala ya kiendeleza soka viongozi wa soka wanaendeleza itikadi za vyama vya siasa!
 
Back
Top Bottom