mjingamimi
JF-Expert Member
- Aug 3, 2015
- 42,209
- 51,004
Acha ushabiki malinzi,mwesigwa,aden rage wote walinyea debe jela kisa mpira,match fixing ni kosa kisheria ni rushwa
Match fixing ni rushwa hiyo mkuuEbu tafuta mashtaka ya hao watu.
Usikurupuke.
Hao matumizi mabaya ya fedha sio kupanga matokeo
unapotenga nguvu bure kumuelewesha mjingamimiMatch fixing ni rushwa hiyo mkuu
Kweli kabisaunapotenga nguvu bure kumuelewesha mjingamimi
Match fixing ni rushwa hiyo mkuu
unapotenga nguvu bure kumuelewesha mjingamimi
Usiwe mjinga ,polisi na dpp ndio wataamua kama apelekwe mahakamani au la sio simbaNyie mnaleta mchezo na mahakama.ebu wampeleke mahakamani tuone..
Huyo wakitaka kumpeleka mahakama ni wakaseme alikula hela za club.
Sio kupanga njama za kuhujumu timu.
Kama WACHEZAJI wenu wanacheza chini ya kiwango Hilo Ni tatizo lao.
Msitafute mtu wa kumbebesha lawama.ni kupotezeana muda tu.
Usiwe mjinga ,polisi na dpp ndio wataamua kama apelekwe mahakamani au la sio simba
Hujui kituNdo maana nakwambia Simba wanapoteza mida tu..na wakiendelea na Imani hii kuwa senzo anahujumu Simba.
Hii timu hamtaifikisha popote.badala ya kuangalia tatizo mnaona mnahujumiwa kila siku mtamtafuta mchawi..
Ona sababu walizotoa Simba kumpeleka polisi senzo.
Eti mawasiliano ya simu.
Walikuwa wanaongea nini?
Hii timu mkishairudisha kwenye hii migogoro mjue hamtafika popote.
MUDA UTAONGEA.
Wampeleke mahakamani.View attachment 1624726
Hujui kitu