Senzo yupo chini ya ulinzi anahojiwa kuihujumu Simba Sc

Senzo yupo chini ya ulinzi anahojiwa kuihujumu Simba Sc

Ebu tafuta mashtaka ya hao watu.
Usikurupuke.
Hao matumizi mabaya ya fedha sio kupanga matokeo
Acha ushabiki malinzi,mwesigwa,aden rage wote walinyea debe jela kisa mpira,match fixing ni kosa kisheria ni rushwa
 
Nyie mnaleta mchezo na mahakama.ebu wampeleke mahakamani tuone..
Huyo wakitaka kumpeleka mahakama ni wakaseme alikula hela za club.
Sio kupanga njama za kuhujumu timu.
Kama WACHEZAJI wenu wanacheza chini ya kiwango Hilo Ni tatizo lao.
Msitafute mtu wa kumbebesha lawama.ni kupotezeana muda tu.
Match fixing ni rushwa hiyo mkuu
 
Haya mapenzi yenu ya timu.ndo maana timu mnaiharibu.
Kuhangaika na mtu ambae mmeshamalizana ni kuonesha bado anakuumiza kuondoka kwake.
Kama WACHEZAJI wanarubuniwa wacheze chini ya kiwango Hilo Ni tatizo lao.
Msitafute mchawi.pambaneni na wachezaji..
Timu inarudi enzi ya wazee kuhisi watu wanakuhujumu.
Senzo mmoja aje kuitingisha timu nzima ya Simba kweli?
Acheni uswahili.chezeni mpira.
unapotenga nguvu bure kumuelewesha mjingamimi
 
Nyie mnaleta mchezo na mahakama.ebu wampeleke mahakamani tuone..
Huyo wakitaka kumpeleka mahakama ni wakaseme alikula hela za club.
Sio kupanga njama za kuhujumu timu.
Kama WACHEZAJI wenu wanacheza chini ya kiwango Hilo Ni tatizo lao.
Msitafute mtu wa kumbebesha lawama.ni kupotezeana muda tu.
Usiwe mjinga ,polisi na dpp ndio wataamua kama apelekwe mahakamani au la sio simba
 
Ndo maana nakwambia Simba wanapoteza mida tu..na wakiendelea na Imani hii kuwa senzo anahujumu Simba.
Hii timu hamtaifikisha popote.badala ya kuangalia tatizo mnaona mnahujumiwa kila siku mtamtafuta mchawi..
Ona sababu walizotoa Simba kumpeleka polisi senzo.
Eti mawasiliano ya simu.
Walikuwa wanaongea nini?
Hii timu mkishairudisha kwenye hii migogoro mjue hamtafika popote.
MUDA UTAONGEA.
Wampeleke mahakamani.
Usiwe mjinga ,polisi na dpp ndio wataamua kama apelekwe mahakamani au la sio simba
Screenshot_20201112-125240.jpg
 
Ndo maana nakwambia Simba wanapoteza mida tu..na wakiendelea na Imani hii kuwa senzo anahujumu Simba.
Hii timu hamtaifikisha popote.badala ya kuangalia tatizo mnaona mnahujumiwa kila siku mtamtafuta mchawi..
Ona sababu walizotoa Simba kumpeleka polisi senzo.
Eti mawasiliano ya simu.
Walikuwa wanaongea nini?
Hii timu mkishairudisha kwenye hii migogoro mjue hamtafika popote.
MUDA UTAONGEA.
Wampeleke mahakamani.View attachment 1624726
Hujui kitu
 
Back
Top Bottom