Septemba 07, 2022 ndiyo iPhone 14 inazinduliwa. Wapenzi wa iPhone tukutane hapa kujuzana prices and specs

Poker

JF-Expert Member
Joined
Oct 7, 2016
Posts
5,445
Reaction score
14,828
Kesho September 7 ni iphone keynote event ambapo inatarajiwa iphone 14, 14 max na max pro zitazinduliwa rasmi.

Inaaminika kutakuwa na major upgrade kwenye upande wa camera na video itaweza kurecord hadi 8k. Pia inasemekana kutakuwa hakuna sim cards slot na badala yake ni esim.
 
Kesho September 7 ni iphone keynote event ambapo inatarajiwa iphone 14, 14 max na max pro zitazinduliwa rasmi. Inaaminika kutakuwa na major upgrade kwenye upande wa camera na video itaweza kurecord hadi 8k. Pia inasemekana kutakuwa hakuna sim cards slot na badala yake ni esim.
Hizi sim sindio zile zinalipuka mfukoni
 
Nadhani hakutakua na mabadiliko makubwa ya design na feutures mpya ukilinganisha na Iphone 13, wanaweza kuweka chipset kubwa zaidi na Ram kubwa zaidi, ila kama kawaida wafungwa wa iphone watazinunua kama zote.
 
Kuna tofauti kubwa kidogo kama kule watatumia esim pia video recording itakuwa 8k na zoom yake itakuwa 10x ya iphone nyingine. Na pia nasikia itakuwa 8000 mAh battery capacity.
 
Kesho September 7 ni iphone keynote event ambapo inatarajiwa iphone 14, 14 max na max pro zitazinduliwa rasmi. Inaaminika kutakuwa na major upgrade kwenye upande wa camera na video itaweza kurecord hadi 8k. Pia inasemekana kutakuwa hakuna sim cards slot na badala yake ni esim.
Wekeni picha, sisi wengine hizo iphone hatuzijui. tunatumia Tecno.
 
Back
Top Bottom