Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yaleyale niliyosema,Simu ya Dola 1100 Bongo inauzwa Dola 2000.Ila hua wanaongeza Sana ili wapate super profit mbona Kenya Bei afadhali kidogo. We ngoja zitue Bongo utaona hiyo iPhone 14 itauzwa million 2 ambayo ni karibu Dola 1000 hiyo iPhone 14 pro itauzwa million 3 na kitu.
Hua najiuliza sipati jibu
Na wabongo wanakimbilia ili tu waonekane wakwanza kununua. Ila nimegundua ni biashara nzuri sana kama kwa unit moja tu mtu anatengeneza faida ya 1M.Yaleyale niliyosema,Simu ya Dola 1100 Bongo inauzwa Dola 2000.
Yaleyale niliyosema,Simu ya Dola 1100 Bongo inauzwa Dola 2000.
Wameunganisha S na Note series.Mbona series ya Note ameiuua ? Walikubali haina future tena kama iphone 14 [emoji1787][emoji1787]
Miaka ijayo simu haitakuwa na tundu lolote.Teknolojia ya SD card imeanza kupoteza mashiko, kwa sababu ilikuwa ina umuhimu kipindi simu zilipokuwa zinakuja na storage ndogo, na iwapo mtu atahitaji kuextend storage, hili ndiyo lilikuwa suluhisho.
Kwa sasa simu zina storage zaidi ya average pc, umuhimu wa SD Card unaanzakupungua kwa kasi. Labda zitaendelea kutumika kwenye feature phones.
Natazamia miaka michache ijayo SD card zitapungua sana sokoni. Labda zitabaki kutumika kwenye cameras.
Ndo dunia inapoelekea.Ila siku hizi naona hata Samsung wanalazimisha ujinga huu.
Hiyo simu ya $1000 unaichukulia USA. Sahivi simu zenye sim card slot zinauzwa nje ya USA ambapo bei ni kubwa kuliko US.Yaleyale niliyosema,Simu ya Dola 1100 Bongo inauzwa Dola 2000.
Nyie na tecno nikumbi kumbi kumbi na mchwaUsiseme simu za bei Mbaya, sema Iphone
Sisi watumiaj wa samsung simu zetu hazina kitu cha kuifanya jamii wakiona wajue ile n samsung aina flan, mwingine anaweza hisi una infinix
Wanaofaham matoleo ya samsung n sisi watumiaj wenyewe na tupo wachache
Long story upo sahihi, officially statement from Samsung, Note Series Discontinued.Wameunganisha S na Note series.
Kimezaliwa kitu kinaitwa S 22 Ultra.
Ni note series kwenye umbo la S series maana bado S pen ipo.
Tutatengeneza simu zetu wenyewe. Unakusanya parts unazotaka, unatengeneza simu yako. Kama computers.Ndo dunia inapoelekea.
Miaka mitano ijayo usishangae hata sehemu ya kuchaji haitakuepo.
Sana bro. Imagine unatengeneza 1M Kwa piece moja tu hapo hata ukitoa Kodi na mazaga mengine hukosi take home 600k au zaidi. Ukiuza piece 20 Una 12mNa wabongo wanakimbilia ili tu waonekane wakwanza kununua. Ila nimegundua ni biashara nzuri sana kama kwa unit moja tu mtu anatengeneza faida ya 1M.
£1300 ni Sawa na 3.5m TSH. Lakini ukiangalia hizo Bei hapo Simu hyohyo ya 256gb anauza milioni NNE laki Tisa na Nusu (tuseme 5m) ambayo ni sawa na £1875.Hiyo simu ya $1000 unaichukulia USA. Sahivi simu zenye sim card slot zinauzwa nje ya USA ambapo bei ni kubwa kuliko US.
UK 256 Pro Max inauzwa £1300. Iweke kwenye hela ya kitanzania.