Septemba 07, 2022 ndiyo iPhone 14 inazinduliwa. Wapenzi wa iPhone tukutane hapa kujuzana prices and specs

Septemba 07, 2022 ndiyo iPhone 14 inazinduliwa. Wapenzi wa iPhone tukutane hapa kujuzana prices and specs

Ila hua wanaongeza Sana ili wapate super profit mbona Kenya Bei afadhali kidogo. We ngoja zitue Bongo utaona hiyo iPhone 14 itauzwa million 2 ambayo ni karibu Dola 1000 hiyo iPhone 14 pro itauzwa million 3 na kitu.

Hua najiuliza sipati jibu
Yaleyale niliyosema,Simu ya Dola 1100 Bongo inauzwa Dola 2000.
 
Attachments

  • IMG_20220918_171741.jpg
    IMG_20220918_171741.jpg
    337.7 KB · Views: 6
Yaleyale niliyosema,Simu ya Dola 1100 Bongo inauzwa Dola 2000.
Na wabongo wanakimbilia ili tu waonekane wakwanza kununua. Ila nimegundua ni biashara nzuri sana kama kwa unit moja tu mtu anatengeneza faida ya 1M.
 
Yaleyale niliyosema,Simu ya Dola 1100 Bongo inauzwa Dola 2000.

sasa watu kama akina baba level wameshanunua tayari,ila mtu kama MO utakuta anasubiri ipungue pressure kwanza[emoji1787][emoji1787]

maisha bana ni vituko tu tunaishi yaani.
 
Mbona series ya Note ameiuua ? Walikubali haina future tena kama iphone 14 [emoji1787][emoji1787]
Wameunganisha S na Note series.

Kimezaliwa kitu kinaitwa S 22 Ultra.

Ni note series kwenye umbo la S series maana bado S pen ipo.
 
Teknolojia ya SD card imeanza kupoteza mashiko, kwa sababu ilikuwa ina umuhimu kipindi simu zilipokuwa zinakuja na storage ndogo, na iwapo mtu atahitaji kuextend storage, hili ndiyo lilikuwa suluhisho.

Kwa sasa simu zina storage zaidi ya average pc, umuhimu wa SD Card unaanzakupungua kwa kasi. Labda zitaendelea kutumika kwenye feature phones.

Natazamia miaka michache ijayo SD card zitapungua sana sokoni. Labda zitabaki kutumika kwenye cameras.
Miaka ijayo simu haitakuwa na tundu lolote.

Wameondoa headphone Jack, wametoa sim card tray.

Watatoa charging port.
 
Yaleyale niliyosema,Simu ya Dola 1100 Bongo inauzwa Dola 2000.
Hiyo simu ya $1000 unaichukulia USA. Sahivi simu zenye sim card slot zinauzwa nje ya USA ambapo bei ni kubwa kuliko US.

UK 256 Pro Max inauzwa £1300. Iweke kwenye hela ya kitanzania.
 
Usiseme simu za bei Mbaya, sema Iphone

Sisi watumiaj wa samsung simu zetu hazina kitu cha kuifanya jamii wakiona wajue ile n samsung aina flan, mwingine anaweza hisi una infinix

Wanaofaham matoleo ya samsung n sisi watumiaj wenyewe na tupo wachache
Nyie na tecno nikumbi kumbi kumbi na mchwa
 
Wameunganisha S na Note series.

Kimezaliwa kitu kinaitwa S 22 Ultra.

Ni note series kwenye umbo la S series maana bado S pen ipo.
Long story upo sahihi, officially statement from Samsung, Note Series Discontinued.
 
Ndo dunia inapoelekea.

Miaka mitano ijayo usishangae hata sehemu ya kuchaji haitakuepo.
Tutatengeneza simu zetu wenyewe. Unakusanya parts unazotaka, unatengeneza simu yako. Kama computers.
 
Na wabongo wanakimbilia ili tu waonekane wakwanza kununua. Ila nimegundua ni biashara nzuri sana kama kwa unit moja tu mtu anatengeneza faida ya 1M.
Sana bro. Imagine unatengeneza 1M Kwa piece moja tu hapo hata ukitoa Kodi na mazaga mengine hukosi take home 600k au zaidi. Ukiuza piece 20 Una 12m
 
Hiyo simu ya $1000 unaichukulia USA. Sahivi simu zenye sim card slot zinauzwa nje ya USA ambapo bei ni kubwa kuliko US.

UK 256 Pro Max inauzwa £1300. Iweke kwenye hela ya kitanzania.
£1300 ni Sawa na 3.5m TSH. Lakini ukiangalia hizo Bei hapo Simu hyohyo ya 256gb anauza milioni NNE laki Tisa na Nusu (tuseme 5m) ambayo ni sawa na £1875.

Kwahiyo kwenye simu moja anapiga 1.5m swafi kabisa.
 
Back
Top Bottom