Hizi sim sindio zile zinalipuka mfukoniKesho September 7 ni iphone keynote event ambapo inatarajiwa iphone 14, 14 max na max pro zitazinduliwa rasmi. Inaaminika kutakuwa na major upgrade kwenye upande wa camera na video itaweza kurecord hadi 8k. Pia inasemekana kutakuwa hakuna sim cards slot na badala yake ni esim.
Kuna tofauti kubwa kidogo kama kule watatumia esim pia video recording itakuwa 8k na zoom yake itakuwa 10x ya iphone nyingine. Na pia nasikia itakuwa 8000 mAh battery capacity.Nadhani hakutakua na mabadiliko makubwa ya design na feutures mpya ukilinganisha na Iphone 13, wanaweza kuweka chipset kubwa zaidi na Ram kubwa zaidi, ila kama kawaida wafungwa wa iphone watazinunua kama zote.
Wekeni picha, sisi wengine hizo iphone hatuzijui. tunatumia Tecno.Kesho September 7 ni iphone keynote event ambapo inatarajiwa iphone 14, 14 max na max pro zitazinduliwa rasmi. Inaaminika kutakuwa na major upgrade kwenye upande wa camera na video itaweza kurecord hadi 8k. Pia inasemekana kutakuwa hakuna sim cards slot na badala yake ni esim.
Wadau wa macho matatu tunasikilizi..Kuna tofauti kubwa kidogo kama kule watatumia esim pia video recording itakuwa 8k na zoom yake itakuwa 10x ya iphone nyingine. Na pia nasikia itakuwa 8000 mAh battery capacity.
Samsung s20 mwaka 2020 ina 8k video recordingKuna tofauti kubwa kidogo kama kule watatumia esim pia video recording itakuwa 8k na zoom yake itakuwa 10x ya iphone nyingine. Na pia nasikia itakuwa 8000 mAh battery capacity.
Haina shida mtoto akita aah easy, macho matatu kwa jicho moja.. Hesabu zina balance ππBei yake itakuwa mtihani kidogo huenda ikapanda kwa 12% hivo inasadikika itakuwa 1300 usd. Bado hujaconvert kwa pesa za madafu.
ππππ Eeeh! Msimu wa mavunoKwahyo saivi ndio muda wakula jicho moja π