September 11 ...Ulikuwa wapi ??


Usimsahau na Fadhili Saiwadi.
 
nilikuwa msaranga wakati huo nilikuwa namalizia o-level pale kishumundu sekondari nilifurahije.
 
Nlikuwa std 5 kipindi hicho darajani primary school tanga
 
duh,hata sikumbuki nilikuwa wapi. hebu ngoja nijaribu kusearch kwenye mafile ya ubongo wangu!
 
Shosti kumbe nimekuzidi darasa moja?
Me nilikuwa drs la 6 pale Forodhani.
Nipe Shikamoo yangu.

But madam B nahis ulikuwa la 7 as mwaka 2001 forodhan ilikuwa haina la 6, mimi nimemaliza 2000 wakati namaliza tuliacha darasa moja tu ambalo lilikuja kumaliza 2001,,, yap yap yap ni farid saiwad aka white..
So na mimi nilikuzid darasa moja madam
 
But madam B nahis ulikuwa la 7 as mwaka 2001 forodhan ilikuwa haina la 6, mimi nimemaliza 2000 wakati namaliza tuliacha darasa moja tu ambalo lilikuja kumaliza 2001,,, yap yap yap ni farid saiwad aka white..
So na mimi nilikuzid darasa moja madam

Sina uhakika vizuri lakini nakumbuka Ndio mwaka ambao akina Babu jinga kwenye Ice Cream na akina Masudi Chips walipoanza kuondoka polepole.
Hv unamkumbuka Mwl Asenga?
Hv ulimaliza na akina Martina Chambiri au alihamaga?
 
Mimi nilikuwa kulekule eneo la tukio ila jimbo tofauti na ilikuwa taharuki nchi nzima kudadadadadeki kwa mara ya kwanza niliona uoga wa wamarekani. Ilikuwa hata supermarket watu tena wababe wanaogopa kwenda na ndipo wakaanza kutuhakikh waja wote upya
 

uliamka saa ngapi siku hiyo?...kuna kitu nina shaka nacho
 
Nilikuwa std 6 pale Shia primary_old Moshi nakajua n ishu ndogo just bom dogo 2 bt kumbe ckujua kama ni ishu ambayo ingebadilisha kbsa historia ya Dunia.
 
Nilikua ndo naanza kuruka ukuta kwenda kuiba bata wa mama mwa J ghafla nikaskia kishindo nikajikuta nimeanguka km mjusi toka darini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…