mdukuzi
JF-Expert Member
- Jan 4, 2014
- 20,925
- 51,688
========
Kauli hii ilitolewa na naibu waziri wa elimu wakati huo Joseph Kakunda na ilileta mjadala kwa watu wengi. Hata hivyo Novemba 10, 2017 Kakunda alikuja kutolea ufafanuzi bungeni kwamba alimaanisha sera mpya miaka ijayo itakuwa lazima mtoto kusoma kuanzia chekechea mpaka kidato cha nne kama elimu msingi hivyo kila mtu atakuwa lazima awe amemaliza kidato cha nne.
Mjadala wa kauli hiyo, soma=> Naibu Waziri Kakunda: Binti hatoolewa bila 'leaving certificate' ya form four