Sera mpya ya faragha ya WhatsApp inavyowafukuza wateja

Sera mpya ya faragha ya WhatsApp inavyowafukuza wateja

me cna taarifa yoyote ya muhimu kwenye hiyo WhatsApp... nitaendelea kutumia until naingia kaburini... tusitishane😎
 
Itafukuza wateja wa nje Africa pekee.

Huku Africa hakuna mtu anajali privacy.
 
Screenshot_20210115-235321[1].jpg
 
Kuna advantage ya Data collection ..inakuwa rahisi kwa customized ads kufikia ..kwa upande wangu sioni tatizo kabisa..kuhamia mitandao mingine kuna challenge ya kupata watu unaofahamiana nao
Na hii ndio sababu fb wanacheza na akili zetu!!
 
Back
Top Bottom