Kuna advantage ya Data collection ..inakuwa rahisi kwa customized ads kufikia ..kwa upande wangu sioni tatizo kabisa..kuhamia mitandao mingine kuna challenge ya kupata watu unaofahamiana nao
Kwa level walioyofikia WhatsApp & Facebook ni ngumu sana kuwachallange watu wanasema wanahama lakini hii ni hype tu ya muda lakini hawawezi kuicha iyo mitandao