Sera ya CHADEMA inasemaje kuhusu Wasanii hususani wa muziki wa kizazi kipya?

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Nafahamu sera ya CCM inahimiza kuwalea wasanii katika tasnia zote ili waweze kufikia viwango na mafanikio ya kimataifa.
Ndio maana unawaona akina Samatta, Msuva, Diamond nk nk wakitoboa.

Sera za Chadema sijajua zinasemaje.

Mwenye nazo atujuze Tafadhali.

Nawatakia Sabato yenye baraka!
 
Tuwachukie, tunagomea nyimbo za dimondi na zuchu, mengine mimi sielewi🤣🤸🐒
 
Wasanii wanatakiwa wawe upande wa haki, hata wakipanda majukwaa ya siasa hatuna shida nao ila wahakikishe wanakuwa upande wa kutetea maslai ya haki... Hawa wasanii wa bongo ni njaa tu zinawasumbua
 
Wasanii wanatakiwa wawe upande wa haki, hata wakipanda majukwaa ya siasa hatuna shida nao ila wahakikishe wanakuwa upande wa kutetea maslai ya haki... Hawa wasanii wa bongo ni njaa tu zinawasumbua
Kwa mfano Diamond ana njaa gani?
 

Unamaana hawa hawa wanaoimba "magu babalao" au wengine?
 
Hata akina Roma na Ney wa mitego!

Asante kwa kutambua wasaliti wote kwa njaa za matumbo yao hawana nafasi katika chama babalao.

Si mparamagamba, bashiri, Sabaya, machaliwa, suchu, diamondo, wenye, nk.

Mkale mnakopeleka mboga.

Kutafutana kwenye tuzo tu? AKU!

Habari ndiyo hiyo.
 
Sera zao ni chuki na kukataa ushirikiano!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…