Sera ya CHADEMA inasemaje kuhusu Wasanii hususani wa muziki wa kizazi kipya?

TOT pamoja nakuwa ni band ya Chama lakini hata siku moja kwenye majukwaa yao ya burudani kwa jamii hawakueneza itikadi za vyama.

Wakina Mond walichokua wanakosea ni kushabikia chama wakati walialikwa kwasababu ya Nyimbo zao kama Jeje nk.
 
Wataweza kweli?hata wakiungana
Leo yako wapi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…