Sera ya CHAUMA ya ubwabwa wa bure wakati wake ndio huu

Sera ya CHAUMA ya ubwabwa wa bure wakati wake ndio huu

Jidu La Mabambasi

JF-Expert Member
Joined
Oct 20, 2014
Posts
16,419
Reaction score
26,594
Bwana Hashim Rungwe yeye hana makubwa. Sera za chama chake ni ubwabwa tu.

Wakati huu mchele unapopanda bei n kutoshikika, wakati wa ubwabwa ndio huu.

rungwe-1.jpg
 
Wanasiasa na mabenki ni ndugu moja, anajifanya kukuhurumia na kukuazimisha mwavuli wakati kuna mawingu lakini mvua ikianza kunyesha anakunyang'anya mwavuli wake. Usiwaamini.
 
Back
Top Bottom