Uchaguzi 2020 Sera ya majimbo itaua utaifa na uzalendo

Mbona mishahara hailingani lakini watu wanaishi
Mbona mfumo huu bado mikoa hailingani?
 
Mbona mishahara hailingani lakini watu wanaishi
Mbona mfumo huu bado mikoa hailingani?
Daktari wa Kilosa analipwa tofauti na yule wa Moshi au Kinondoni!? Au mwalimu wa ilula sokoni analipwa tofauti na wa mwanza!?

#wote wakiwa watumishi wa serikali!

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Mkuu huelewi au ni kusudi hujui kuwa mshahara wa dokta wa kilosa ni tafauti na mshara wa dokta wa kupasua wa dar? Au mshahara wa mwalim wa msingi ni tafauti na mwalim wa sekondari?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…