Uchaguzi 2020 Sera ya Majimbo ndio msumari wa mwisho kwenye jeneza la CHADEMA kuelekea Oktoba 28

K​

hahaha kumbe wanaojiunga mwaka wa uchaguzi ni kijani pure,unajishtukia sana hahaha kumbe umetawaliwa na hisia zaid kuliko kufikiri sawasawa,huwaga nafurahi sana mtu yupo nyuma ya keyboard afu anakuchukulia tofauti na uhalisia wako well,,ila siku nyingne punguza mhemko siyo kila post unacomment negative fikiri kabla ya kutype ok
Jibu na ukweli ndo huo! Wenyeji humu hatuzubaishwagi na hizo Id zenu za kimkakati
 
Upotoshaji wa hali ya juu sikuwahi kupata kuuona mtoa mada please please kasema utawala wa majimbo unavyokuwa na kuacha huu upotoshaji wako usionamashiko please.
 
Wakuu ukiacha usaliti wa Nchi na kutumika na Mabeberu

Chadema imejizika yenyewe kwa kuleta sera ya kujitawala kimajimbo ndani ya Tanzania

Kwa wale Watanzania ambao hawajaipitia hii sera ya Chadema

Ni kwamba kama wewe unatokana Kilimanjaro hurusiwi kwenda kagera hadi uende uhamiaji ni kama vile unahama Nchi
Lazima uwe na documents zote zile zinatohitajika ili kuhama Nchi

Kama Wewe unatoka mbeya hurusiwi kwenda Dar es salam hadi uende ofisi za uhamiaji za jimbo husika, gavana akikataa kukupatia kibali basi tena hutoki ndani ya jimbo

Swala la ajira:
kama wewe umezaliwa Dodoma hurusiwi kuajiriwa nje ya jimbo ulilozaliwa,yaani kama kuna nafasi za ajira morogoro wewe mtu wa Dodoma hurusiwi kusogeza pua

Pia kiuchumi Mfano kama wewe unatoka singida mashariki ambako hali ya kiuchumi ni duni sana hurusiwi kwenda Moshi kwa ajili ya kutafuta fursa za kiuchumi hadi uwe na passport ya kusafiria kama unavyoenda Africa kusini

Tunajua Tanzania wachaga wametapakaa kila kona ya Nchi wakijitafutia riziki ila Chadema wanataka kila mtu afanye biashara alikozaliwa, hii inamaana kuwa watu wa Kilimanjaro wote watatakiwa kurudi kwao endapo Chadema itashinda Uchaguzi

Marafiki zangu wa Kilimanjaro wanaofanya biashara Dar es salam wametokea kuchukizwa sana na sera hii ya Chadema na kusema wamejitakia kifo kwa chama chao na wameapa kutoipigia kura Ccm

Mtazamo wangu sera za majimbo zinazopigiwa upatu na Chadema zitaleta udini na ukabila na matabaka kama ilivyo Nigeria

Tunaishukuru Ccm kwa kupigania umoja wa Watanzania, wanaotaka kutugawa kamwe hawataweza, wale waliowatuma watugawe ili iwe rahisi kupora raslimali zetu hawataweza kamwe

Kwa heri Chadema, October bungeni tunataka chama cha siasa cha upinzani cha kizalendo na sio hao wanaopigania kuwamilikisha Wazungu raslimali zetu
Kama uelewa wako juu ya sera ya majimbo ndo huu ni Heri wazazi wako wangenunua mbuzi kwa hela waliokusomeshea ( tena hii ni kama kweli ulisomeshwa) kwa sababu siku ya mwisho wangemchinja na kula supu kuliko kusomesha kitu jinga namna hii

Kwa hizo unamaanisha mtu wa New York hawezi kuajiliwa Texas???? Nani kawalisha haya matango Pori nyie wajinga wa Lumumba????

Kwa iyo unamaanisha kwenye mfumo wa majimbo mtu wa California hawezi kwenye kuwekeza Nevada??????😂😂😂😂😂😂😂

Daaah CCM Kuna Tatizo kubwa sana la makada wake kukosa upeo na akili!!!!!😂😂😂😂😂😂

Muwe mnafanya hata research basi nyie mbuzi wa Ccm kuliko kuja kupost ushenzi ambao siku ya mwisho mnakuja kuaibika humu!!!

Kama hamjui mfumo wa majimbo ulizeni ila sio kuja kujiaibisha humu!!!🤣🤣🤣🤣🤣
 
Ataenda kuwa jaji mahakama ya Jimbo lake la Kilimanjaro kesi zote za majimbo zitaishia huko huko majimboni kasoro kesi za mambo tu ya Muungano Kama vile za katiba ndizo zitapelekwa mahakama katiba ya nchi

Majaji wa kesi zingine sijui za wizi sijui au mauaji,ubakaji nk wataenda Kwao kwenye majimbo wakahukumu huko na watalipwa na majimbo Yao sio serikali kuu

Mahakama kuu itabaki na kesi za kitaifa tu zinazohusu taifa Kama taifa tu

Muundo wa majimbo ukianza na muundo wa mahakama unabadilika haubaki ulivyo Sasa.Maeneo yote yanabadilika kuanzia serikali,Bunge na mahakama mifumo inabadilika

Sera ya majimbo haigawi nchi tu pia inagawa Bunge, serikali na mahakama mihimili yote inakatwa mapanga vipande vipande
Rubbish.... There is no such a thing... Someni ile ilani muilewe pia tumieni sample ya nchi tofauti tofauti wanaoutumia mfumo huo! Mimi nina ndugu Kenya mbona hakurudishwa kwao kisa si mzawa wa jimbo analofanyia kazi? Achen paradox zenu.
 
Kama uelewa wako juu ya sera ya majimbo ndo huu ni Heri wazazi wako wangenunua mbuzi kwa hela waliokusomeshea ( tena hii ni kama kweli ulisomeshwa) kwa sababu siku ya mwisho wangemchinja na kula supu kuliko kusomesha kitu jinga namna hii

Kwa hizo unamaanisha mtu wa New York hawezi kuajiliwa Texas???? Nani kawalisha haya matango Pori nyie wajinga wa Lumumba????

Kwa iyo unamaanisha kwenye mfumo wa majimbo mtu wa California hawezi kwenye kuwekeza Nevada??????[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Daaah CCM Kuna Tatizo kubwa sana la makada wake kukosa upeo na akili!!!!![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Muwe mnafanya hata research basi nyie mbuzi wa Ccm kuliko kuja kupost ushenzi ambao siku ya mwisho mnakuja kuaibika humu!!!

Kama hamjui mfumo wa majimbo ulizeni ila sio kuja kujiaibisha humu!!![emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Jamaa hawa hamna kitu kabisa aisee... Wanajazana upupu sana... Mwingine kaniambia atarudishwa alikozaliwa akafanye huko kazi[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1487]
 
Mfumo wa majimbo ndio utafanya kila mkoa ijiletee maendeleo haraka kwa kutumia rasilimali zake ipasavyo.

Pia itaondoa hali ya sasa ya rais kutumia maendeleo kama silaha ya kutisha wananchi wampe kura kwa nguvu eti wasipompa hawatapata maendeleo.

Pia mfumo huu unamaliza kabisa utawala wa kidikteta kwani madaraka mengi yanakuwa mikononi mwa wananchi badala ya rais. Long live Federal System of Government.
 
Huo ubaguzi mnaotaka kuuleta Tanzania hautatokea

Nchi zinazoongozwa kwa sera ya majimbo zipo kwenye mpasuko mkubwa sana,

Kama mnataka majimbo wafuateni mabwana zenu ubeligiji
Mfumo wa majimbo ndio utafanya kila mkoa ijiletee maendeleo haraka kwa kutumia rasilimali zake ipasavyo.

Pia itaondoa hali ya sasa ya rais kutumia maendeleo kama silaha ya kutisha wananchi wampe kura kwa nguvu eti wasipompa hawatapata maendeleo.

Pia mfumo huu unamaliza kabisa utawala wa kidikteta kwani madaraka mengi yanakuwa mikononi mwa wananchi badala ya rais. Long live Federal System of Government.
 
Wakenya wote walirudishwa kwao
Rubbish.... There is no such a thing... Someni ile ilani muilewe pia tumieni sample ya nchi tofauti tofauti wanaoutumia mfumo huo! Mimi nina ndugu Kenya mbona hakurudishwa kwao kisa si mzawa wa jimbo analofanyia kazi? Achen paradox zenu.
 
Anne you're better than this.... Jipe muda dont use paradox statements to argue about this concept... Uzuri ushakubali kuwa hujatafiti hili kiundani.
Alianza mwenyewe kunitukana..na kiherehere chake cha kuniquote.
Unanijua,Sina kawaida ya Kutukana watu ila mtu akitaka tutukanane basi tutatukanana tu wala si kazi kubwa.
 
Ndio sera ya majimbo ya Chadema ipo hivyo

Kama Wewe unatoka Kilimanjaro huu mfumo ukianza unarudishwa kwenu

Na kama wewe ni mzaliwa wa mbeya hurusiwi kuajiriwa nje ya mbeya

Chadema wanataka walivuruge Taifa letu
Kama uelewa wako juu ya sera ya majimbo ndo huu ni Heri wazazi wako wangenunua mbuzi kwa hela waliokusomeshea ( tena hii ni kama kweli ulisomeshwa) kwa sababu siku ya mwisho wangemchinja na kula supu kuliko kusomesha kitu jinga namna hii

Kwa hizo unamaanisha mtu wa New York hawezi kuajiliwa Texas???? Nani kawalisha haya matango Pori nyie wajinga wa Lumumba????

Kwa iyo unamaanisha kwenye mfumo wa majimbo mtu wa California hawezi kwenye kuwekeza Nevada??????[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Daaah CCM Kuna Tatizo kubwa sana la makada wake kukosa upeo na akili!!!!![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Muwe mnafanya hata research basi nyie mbuzi wa Ccm kuliko kuja kupost ushenzi ambao siku ya mwisho mnakuja kuaibika humu!!!

Kama hamjui mfumo wa majimbo ulizeni ila sio kuja kujiaibisha humu!!![emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Akili za namna hii zinapatikana lumumba tu!Hivi kuna uhusiano gani kati ya ujinga,uzandiki,propaganda mfu na kuwa kada wa CCM!Naona kuna mstari mwembamba sana hapo!
 
Ukisoma sera za majimbo za Chadema utatoa machozi
Hii sera Chadema wanapanga kutugawa kwa makabila yetu na dini zetu ili wawarahishie Mabeberu waliowatuma kutuibia rasmali zetu
Upotoshaji wa hali ya juu sikuwahi kupata kuuona mtoa mada please please kasema utawala wa majimbo unavyokuwa na kuacha huu upotoshaji wako usionamashiko please.
 
Ukisoma sera za majimbo za Chadema utatoa machozi
Chadema wanapanga kuliangamiza hili Taifa
Wanataka kutugawa kwa kutumia kabila zetu na dini zetu
Akili za namna hii zinapatikana lumumba tu!Hivi kuna uhusiano gani kati ya ujinga,uzandiki,propaganda mfu na kuwa kada wa CCM!Naona kuna mstari mwembamba sana hapo!
 
Wakuu ukiacha usaliti wa Nchi na kutumika na Mabeberu

Chadema imejizika yenyewe kwa kuleta sera ya kujitawala kimajimbo ndani ya Tanzania

Kwa wale Watanzania ambao hawajaipitia hii sera ya Chadema

Ni kwamba kama wewe unatokana Kilimanjaro hurusiwi kwenda kagera hadi uende uhamiaji ni kama vile unahama Nchi
Lazima uwe na documents zote zile zinatohitajika ili kuhama Nchi

Kama Wewe unatoka mbeya hurusiwi kwenda Dar es salam hadi uende ofisi za uhamiaji za jimbo husika, gavana akikataa kukupatia kibali basi tena hutoki ndani ya jimbo

Swala la ajira:
kama wewe umezaliwa Dodoma hurusiwi kuajiriwa nje ya jimbo ulilozaliwa,yaani kama kuna nafasi za ajira morogoro wewe mtu wa Dodoma hurusiwi kusogeza pua

Pia kiuchumi Mfano kama wewe unatoka singida mashariki ambako hali ya kiuchumi ni duni sana hurusiwi kwenda Moshi kwa ajili ya kutafuta fursa za kiuchumi hadi uwe na passport ya kusafiria kama unavyoenda Africa kusini

Tunajua Tanzania wachaga wametapakaa kila kona ya Nchi wakijitafutia riziki ila Chadema wanataka kila mtu afanye biashara alikozaliwa, hii inamaana kuwa watu wa Kilimanjaro wote watatakiwa kurudi kwao endapo Chadema itashinda Uchaguzi

Marafiki zangu wa Kilimanjaro wanaofanya biashara Dar es salam wametokea kuchukizwa sana na sera hii ya Chadema na kusema wamejitakia kifo kwa chama chao na wameapa kutoipigia kura Ccm

Mtazamo wangu sera za majimbo zinazopigiwa upatu na Chadema zitaleta udini na ukabila na matabaka kama ilivyo Nigeria

Tunaishukuru Ccm kwa kupigania umoja wa Watanzania, wanaotaka kutugawa kamwe hawataweza, wale waliowatuma watugawe ili iwe rahisi kupora raslimali zetu hawataweza kamwe

Kwa heri Chadema, October bungeni tunataka chama cha siasa cha upinzani cha kizalendo na sio hao wanaopigania kuwamilikisha Wazungu raslimali zetu

Labda umejizika mwenyewe,fuatilia uelewe maana ya sers ya majimbo.Unaonekana unasikiliza hadithi za vijiweni.Yaani huna unalolijua kuhusu serikali ya majimbo hata kidogo
 
Ukisoma sera za majimbo za Chadema utatoa machozi

Wametumwa na Mabeberu kutunga hii sera ili wawarahisishie kuiba raslimali zetu

Bila kujua wameingia kwenye mtego wa kutugawa kwa kabila na dini zetu

Nchi ya Nigeria ina raslimali nyingi lkn wameishia kupigana kwa dini na makabila Kwasababu ya sera ya majimbo
Labda umejizika mwenyewe,fuatilia uelewe maana ya sers ya majimbo.Unaonekana unasikiliza hadithi za vijiweni.Yaani huna unalolijua kuhusu serikali ya majimbo hata kidogo
 
Ukisoma sera za majimbo za Chadema utatoa machozi
Chadema wanapanga kuliangamiza hili Taifa
Wanataka kutugawa kwa kutumia kabila zetu na dini zetu
Ndio maana nasema kuna mstari mwembamba kati ya kuwa kada wa CCM na ujinga!
Hamuoni mambo yanayotugawa watanzania?Hamuoni leo akipatwa na majanga wa Chama A watu wa chama B wanalipuka kwa furaha and vise versa?Hamjui chanzo ni nini?Hamuoni tumeshagawanyika?Hamumsikii mgombea wenu anavyowatisha wananchi kama wasipochagua mafiga matatu?Hamuoni wapinzani wanavyobambikiziwa kesi,kutekwa,kutesa na hata kuuwawa?
Halafu linakuja popoma eti sera ya majimbo italigawa taifa,shwaini kabisa!
 
Back
Top Bottom