Uchaguzi 2020 Sera ya Majimbo ndio msumari wa mwisho kwenye jeneza la CHADEMA kuelekea Oktoba 28

Tambua tuko uchumi wa kati..mbavu kabsa...

Sent from my TECNO F2 using JamiiForums mobile app
 
Jibu swali ni wapi kwenye mfumo wa majimbo unaitaji visa kutoka jimbo moja hadi lingine????[emoji23][emoji23][emoji23]

Alafu utapata jibu kati ya mimi na wewe nani ni mpumbavu
80% ya mapa yote hukusanywa mkoa mmoja wa dar.. Leo ukisema singida hapo kwenu mjitegemee mtakula hizo alizet zenu,fara ww

Sent from my TECNO F2 using JamiiForums mobile app
 
80% ya mapa yote hukusanywa mkoa mmoja wa dar.. Leo ukisema singida hapo kwenu mjitegemee mtakula hizo alizet zenu,fara ww

Sent from my TECNO F2 using JamiiForums mobile app
Kama mmeshindwa kukusanya mapato ni nyie CCM na ukilaza wenu. Ndo mana tunataka tuwatoe tuwaweke watu wenye uwezo na maarifa watakaoweza kutengeneza mfumo thabiti wa kukusanya mapato kwa maendeleo ya wananchi.

Hujui singida Kuna dhahabu??? Hujui kuna mapori ya akiba yenye wanyama tele???
 
Ubeligiji ni ka Nchi kadogo km mkoa wa njombe, imegawanywa katika majimbo mawili
Miaka mingi kila jimbo limekuwa likitaka lijitangaze kuwa Nchi kamili

Ubaguzi ni mbaya sana, tuwakatae Chadema wanataka kutugawa
Lete ushahidi wa hayo unayosema kilaza mkubwa wewe!!!
Weka ushahidi wa hao watu wanaozungumza kifaransa kukosa kazi maeneo wanayozungumza kijerumani kwa sababu wanabaguliwa
 
Ubeligiji ni ka Nchi kadogo km mkoa wa njombe, imegawanywa katika majimbo mawili
Miaka mingi kila jimbo limekuwa likitaka lijitangaze kuwa Nchi kamili

Ubaguzi ni mbaya sana, tuwakatae Chadema wanataka kutugawa
Mbona hapa Zanzibar imekuwa ikitaka kujitenga??? Aboud Jumbe mlimuondoa Uraisi wa Zanzibar na Umakamu mwenyekiti CCM kwa sababu gani???

Kwa iyo na hapa Kuna ubaguzi?
 
Ndio uhalisia Mkuu, sera za majimbo za Chadema zinataka visa kutoka jimbo moja kwenda kwenda jimbo lingine

Huwezi kupata kazi nje ya jimbo lako, huwezi kuwekeza nje ya jimbo lako

Hapa nawahurumia rafiki zangu wachaga kwani ndio wataathirika zaidi
 
Asante Rais Magufuli kwa kutupeleka Tanzania katika uchumi wa kati, Mungu akupe afya uendelee kututumikia
Na si tu Magufuli ameipeleka Tanzania uchumi wa kati bali pia ameipa hadhi yakuwa miongoni mwa nchi za kisasa.Hao chadema washakufiiiin bado kuzikwa tu.
 
Wewe tatizo hujaelewa lugha ya malkia hapo ubaguzi nje nje
 
Ndio uhalisia Mkuu, sera za majimbo za Chadema zinataka visa kutoka jimbo moja kwenda kwenda jimbo lingine

Huwezi kupata kazi nje ya jimbo lako, huwezi kuwekeza nje ya jimbo lako

Hapa nawahurumia rafiki zangu wachaga kwani ndio wataathirika zaidi
Wapi yanaafanyika hayo??? Kuwa jimbo moja kwenda lingine unahitaji visa???

Wapi inafanyika hayo kuwa mkazi wa jimbo moja hawezi pata kazi jimbo lingine??!!

Toa ushahidi hapa
 
CCM sera yenu ya mahakama ya ufisadi iliishia wapi au ufisadi haupo awamu hii?
 
Tundu lisu umemskia lini akitaja hizo raslimali za mkoa wake kama mbunge,? Amesaidia nn jimbo lake tofaut na kudidimiza kiuchumi..? Kama kuna raslimali zote hizo halmashauli aliyongoza imendelea kuwa ya mwisho kila mwaka..!! Hatumtak mwabieni tunaendelea na mzalendo wa kwer. Mabeberu hatuyatak

Sent from my TECNO F2 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…