Uchaguzi 2020 Sera ya Majimbo ndio msumari wa mwisho kwenye jeneza la CHADEMA kuelekea Oktoba 28

Uchaguzi 2020 Sera ya Majimbo ndio msumari wa mwisho kwenye jeneza la CHADEMA kuelekea Oktoba 28

Huo ubaguzi mnaotaka kuuleta Tanzania hautatokea

Nchi zinazoongozwa kwa sera ya majimbo zipo kwenye mpasuko mkubwa sana,

Kama mnataka majimbo wafuateni mabwana zenu ubeligiji
Rubbish.
 
Hakuna Sehemu Rais Magufuli amewataja Wapinzani kwenye kampeni zake

Yeye anamwaga sera za kuwatumikia Wananchi

Ila mgombea wa chadema ni kutema kila aina ya matusi sera hakuna


Na hii sera za majimbo ndio zimeizika rasmi Chadema

Kwaheri Chadema nakuhakikishia hata mbunge hutapata
Mbeya aliomba kusuguliwa na Sugu,lakini Sugu wa watu yu mwingi wa hekima na busara kakataa ombi lile hadharani
 
Wakuu ukiacha usaliti wa Nchi na kutumika na Mabeberu

CHADEMA imejizika yenyewe kwa kuleta sera ya kujitawala kimajimbo ndani ya Tanzania

Kwa wale Watanzania ambao hawajaipitia hii sera ya CHADEMA

Ni kwamba kama wewe unatokana Kilimanjaro hurusiwi kwenda kagera hadi uende uhamiaji ni kama vile unahama Nchi
Lazima uwe na documents zote zile zinatohitajika ili kuhama Nchi

Kama Wewe unatoka mbeya hurusiwi kwenda Dar es salam hadi uende ofisi za uhamiaji za jimbo husika, Gavana akikataa kukupatia kibali basi tena hutoki ndani ya jimbo

Swala la ajira:
kama wewe umezaliwa Dodoma hurusiwi kuajiriwa nje ya jimbo ulilozaliwa,yaani kama kuna nafasi za ajira Morogoro wewe mtu wa Dodoma hurusiwi kusogeza pua

Pia kiuchumi mfano kama wewe unatoka Singida Mashariki ambako hali ya kiuchumi ni duni sana hurusiwi kwenda Moshi kwa ajili ya kutafuta fursa za kiuchumi hadi uwe na passport ya kusafiria kama unavyoenda Africa Kusini

Tunajua Tanzania wachaga wametapakaa kila kona ya Nchi wakijitafutia riziki ila CHADEMA wanataka kila mtu afanye biashara alikozaliwa, hii inamaana kuwa watu wa Kilimanjaro wote watatakiwa kurudi kwao endapo CHADEMA itashinda Uchaguzi

Marafiki zangu wa Kilimanjaro wanaofanya biashara Dar es salam wametokea kuchukizwa sana na sera hii ya CHADEMA na kusema wamejitakia kifo kwa chama chao na wameapa kutoipigia kura CCM

Mtazamo wangu sera za majimbo zinazopigiwa upatu na CHADEMA zitaleta udini na ukabila na matabaka kama ilivyo Nigeria

Tunaishukuru CCM kwa kupigania umoja wa Watanzania, wanaotaka kutugawa kamwe hawataweza, wale waliowatuma watugawe ili iwe rahisi kupora raslimali zetu hawataweza kamwe

Kwa heri CHADEMA, October bungeni tunataka chama cha siasa cha upinzani cha kizalendo na sio hao wanaopigania kuwamilikisha Wazungu raslimali zetu

IMG_9498.jpg

Ukifanya kazi ya shetani lazima malaika akupitie
 
Wapiga kura watoka Kilimanjaro this election is a crucial decision Moment for you mnataka kuendelea kuonekana adui wa CCM au LA ili future decision kuwahusu ziingie Part two? You have enjoyed so much for 60 years under CCM rule Do you want to break that relationship? You are welcome CCM we are ready to enter part Two to deal with you bila huruma popote mlipo
 
Wapiga kura watoka Kilimanjaro this election is a crucial decision Moment for you mnataka kuendelea kuonekana adui wa CCM au LA ili future decision kuwahusu ziingie Part two? You have enjoyed so much for 60 years under CCM rule Do you want to break that relationship? You are welcome CCM we are ready to enter part Two to deal with you bila huruma popote mlipo
Bado unaamini hoja zako mfu za ukabila zitakusaidia mwaka huu???😂😂😂😂

Umepotea sana mwana Lumumba

Watu wameielewa na kuikubali Sera ya majimbo. Wanajua duniani korte hayo unayoyasema hayapo kwenye nchi zinazofuata Sera hii!! Upotoshaji wenu hautawasaidia lolote mwaka huu😂😂😂

Lissu all the way ✌️✌️
 
Yote ni kweli mkuu
Fafanua!!

Leta na ushahidi!!Wa nigeria kusafiri jimbo moja kwenda lingine unahitaji visa???

Wa canada kusafiri jimbo moja hadi lingine kuhitaji visa na Ubelgiji pia??

Pia lete mifano na ushahidi kuwa kwenye hizo nchi Mkazi wa jimbo moja haruhusiwi kupata kazi jimbo lingine [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Let’s ushahidi na uthibitisho hapa kwa hizo nchi ulizozitaja

Ukishindwa nawaambia mods wabadili id yako from Bia yetu to Certified Kilaza!!! Sawasawa??
 
Wabunge wa chadema ni wabunge maslah
Haikuleta madhara kama benk ya dunia walivyotutabiria,, jpm kaishinda mpaka saiv kwa uweza wa mwenyez mungu tunaduda,, Tofaut na wabunge wa opposite walivyotaka bunge liahilishwe, sijuw bajet ingepitishwa na nan... Jpm mitano tena

Sent from my TECNO F2 using JamiiForums mobile app
 
Msaliti wa nchi tunamshughukikia october 28
Ndio maana nakuambia hamna serikali kama kuna msaliti na bado ana uhuru na anawahenyesha kama ww unavyoshupaza mku.ndu hapa jukwaani kuhalalisha hoja yako
 
Nchi zenye majimbo zina vurugu za kivita ,machafuko ya kidini na kikabila tuwakatae chadema watatuharibia nchi
Nchi zote zina majimbo kasoro TZ ..kwahiyo hizo nchi zooote mabeberu wamechukua?

Na China mnayoona ndio nchi ya kuiga ina majimbo,mabeberu wamechukua?

Pumbavu wewe
 
Udkteta upo chadema,ccm demkrasia imetawala
Sidhani kama kuna chochote unachoelewa kuhusu Federal System of Government. Tuambie nchi zenye mpasuko zilizo na serikali ya majimbo (Federation).

Otherwise, usiongelee usichokifahamu kwa sababu tu ya kushabikia udikteta ambao ukichunguza sana utakuta hata wewe hunufaiki nao.
 
Chadema ni wasaliti wa nchi hawana nafasi tanzania
Kwa sera hiyo ya Majimbo, CDM hampati kura nyingi. Mkibahatika sana mnaweza kupata 5% ya Rais, 7% Ubunge na 6% Udiwani.
 
Wasaliti wa nchi watachaguliwa na robert tu[emoji28][emoji28][emoji28]

Hatuwezi kuiacha ccm
Sisi ndo watanzania na tunataka Sera ya majimbo. Hivyo tutawachagua chadema kwa kura nyingi
 
Back
Top Bottom