OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Mheshimiwa Lissu ameweka na kufafanua kwa kina sera zake ikiwa atashinda uwenyekiti wa CHADEMA
1. No reform no election. Hakuna kumchekea Samia wala CCM
2. Kuwe na ukomo viti maalumu bungeni
3. Kuwe na ukomo kwenye uongozi wa chama
4. Kupeleka rasilimali za chama ngazi za chini badala ya wajanja wachache kula vinono makao makuu
5. Kuwe na uwazi na uwajibikaji kwenye chama
6. Kuimarisha mifumo ya kifedha
7. Kukomesha rushwa kwenye chama
8. N.K
Nauliza sera za Mbowe ni zipi? Au ni kinyume cha hayo ya Lissu? Kwa nini tusiamini huyu Mbowe ni tapeli maana genge lake hatulisikii kabisa likinadi sera zake. Badala yake tunasikia wanagawa pesa na kununua watu.