Sera za Rais Magufuli katika biashara zina mapungufu

ego

JF-Expert Member
Joined
Apr 10, 2013
Posts
1,620
Reaction score
1,407
Raisi ana mawazo mazuri kuhusu biashara hasa upande wa viwanda lakini utekezaji wa mawazo yake haya una mapunfu makubwa.

hakuna nchi duniani inayoweza kupata maendeleo kwa kufunga milango yake hawauzi wala kununua nje.

nchi zinapiga hatua kwa kuuza nje sana na kununua kidogo lakini si kidogo bali nchi inaweza kununua sana ila kwa vitu abavyo haiwezi kuvitengeneza yenyewe.

ili nchi ipige hatua inahitaji kushirikiana na wajanja kwa kununua baadhi ya bidhaa kwao na kuuza baadhi ya bidhaa kwao hivyo nyote mnanunuliana na kuuziana.

nchi inahitaji nchi za wajinga kwa sana wanaoweza kuzalisha lakini hawazalishi wanaagiza kila kitu ili wawauzie bidha zao.

nchi kufanya mapinduzi haya yanahitaji mikakati ya kiuchumi kwa kuangalia mifumo ya kodi, kuangalia sera, sheria na kanuni mbalimbali.

mfano tunategemea kuvaa guo zetu kuoka asia na mtumba ya ulaya. sasa kwa raisi kusimama kwenye majukwaa kujiuliza haisadii bali kuangalia ni kwa nini nguo wanazoshona watanzania haziwezi kushindana sokoni na nguo za nje na kutengeneza mazingira ya kuziwezesha kushindana. leo hii nguo ya kushona kwa fundi ni gali kuliko nguo iliyoshonwa malasia lakini kama taifa tujiulize kuwa na nguo tu iliyonwa malasia na kuwa na nguo gali iliyoshonwa kwetu na fedha iliyonunua bado iko kwenye mzunguko wetu wa ndani ni kipi chenye faida?

litakuwa kosa kubwa tukitumia majukwaa kueneza propaganda za mabo ya kiucumi kwani tunaowanyanganya biahara nao watawaanza kutunyananya biashara katika masoko ya kwao.

raisi atumie watalamu kufanya kazi na kimya kimya tuombe mambo yanabadilika. kwenye majukwaa anaweza kusema kuwahamasisha watu kuchukua fursa wanazozitengenr
 
No time for rhetoric demagogues; hapa ni kazi tu!!
 
tatizo la watanzania we are short sited kwa maana hatuoni mbali tunaona karibu tu na tabia ya short sited ni kuridhika haraka.

mfano watu wamendika kwenye mtandao huu wa jamii forum kuwa raisi amefunga kiwanda cha maziwa cha nchi jirani kuwa alisema sio fare kuchukua maziwa kwetu kuyaprcess kwao na kurdisha bidhaa kwetu

sio fare kwa nani? maana kiwanda kilikuja kutafuta profit, sasa kama wao wameona njia hiyo inawapa faida zaidi ni lazima watafanya hivyo.

create kwako mazigira ya mtua akizalishia kwako anapata faida zaidi na hapo yeye ama atabadilisha mfumo wake kupata faida au watajitokeza wazalishaji kwako wamnyanganye soko.

lakini ukisimama kwenye majukwaa na kusema, utakuta kila mtu jirani yako anaiga mfano wako na unaharibu soko lako pia. hebu angalia Tanzania ilivyo na fursa nzuri ya kuinua kilimo lakini kwa ndani soko hakuna hivyo tunategemea kujitanua kwa masoko ya jirani. unategemea mwenzako anunue mazao yako ya kilimo huku wewe unatumia majukwaa kupiga vita bidhaa zake?

soko lake linaweza kufa kwako kama vimetumika vigezo vya kibiashara kama bei za vitu vinavyozalishwa kwako havina tatizo lakini soko likiharibiwa na majukwaa ya kisiasa lazima na wao wata "act" vile vile katika masoko yako mengine kwako.

hivyo utajiuta ujangenga hapa unabomoa pale.

kufanikiwa kunatokana na kuwa mjanja ukapata fursa zidi ya wengine na matokeo yake unajikuta unapata uwezo wa kumdu mahitaji yako zaidi ya wengine.
 
Raisi anatamani iwe hivyo. Lakini je anajua benk pekee ya serikali ya kutoa mikopo ni TIB? Je anajua wanatoza riba kiasi gani ukilinganisha na benk za kibiashara kama CRDB , NBC n.k? Je anajua walivyo na urasimu wa ajabu hadi wateja wanakta tamaa?

What is the point of having such a useless bank ikijinasibu kama benk ya kutoa mikopo ya kimaendeleo? Jamaa yangu mwekezaki wa ndani aliamua kukimbia hiyo bank baada ya urasimu na upuuuzi mwingi wa rushwa.

Raisi aelekeze macho kwa hawa jamaa.Inawezekana ikawa kikwazo cha kwanza kabisa dhidi ya maendeleo ya viwanda. Uwekezaji gani mtu anachukua miaka mitatu hadi minne kupata mkopo? Are they serious?
 
tunahitaji kurudisha kandarasi ndani ya nchi, tunahitaji kurudisha uzalishaji wa bidhaa ndani ya nchi, tunahitaji kurudisha utoaji wa huduma ndani ya nchi na haya yatatusukuma sana kiuchumi lakini tufanye mambo haya kwa technique za kitaalamu kimya kimya waliozishikilia biashara hizi wanastukia wamekwisha zipoteza na sio kuwapigia kelele watatukwamisha.

mambo yetu wenyewe tunaweza kupigiana kelele iekanavo.
 
hapo ndio tatizo la raisi kusimamia utendaji mojakwa moja badala ya kugatua madaraka ngazi kwa ngazi mpaka chinii.

wizara ya fedha ipo hivyo kama kenye jamii kunakuja malalamiko kama haya ndio raisi anaogea watu wa wizara husika kuwauliza wanafanya nini kama jamii inaweza kukumbwa na matatizo ambayo yako ndani ya uwezo wao kuyatatua.

Back
Top Bottom