Bila kusahau diplomasiaEconomic chain kaiua makusudi kabisa.
Mchina ni machinga kariakoo na mbaya zaidi wenye viwanda china wanazalisha na kuleta direct wao wenyewe, kikubwa Wana kampuni zao za clearing and forwarding , Wana meli zao za kusafirisha mizigo hapo Samia kafeli.
Nenda migodini chungwa, same , singida , wachina nao wapo kama wachimbaji wadogo lini leseni za wachimbaji mdogo zinatolewa kwa wageni?
Muelezeni mama yenu maana Mimi sio mama yangu ninae mama yangu huko kijijini ,
Muelezeni anaiuwa nchi kwa Sera zake mbovu
Halindi ajira za wazawa kiufupi anaua uchumi WA Taifa.
Economic chain kaiua makusudi kabisa.

Tunasema Sera za mama yenu mbovu na hafaiWachina walikuwepo, wapo na wataendelea kuwepo.
Matatizo ya kiuchumi hayasababishwi na wachina bali uongozi mbovu...
Hauna hoja
Bila kumung'unya maneno uwezo wa bimkubwa kwa taifa kubwa ni mdogoEconomic chain kaiua makusudi kabisa.
Mchina ni machinga kariakoo na mbaya zaidi wenye viwanda china wanazalisha na kuleta direct wao wenyewe, kikubwa Wana kampuni zao za clearing and forwarding , Wana meli zao za kusafirisha mizigo hapo Samia kafeli.
Nenda migodini chungwa, same , singida , wachina nao wapo kama wachimbaji wadogo lini leseni za wachimbaji mdogo zinatolewa kwa wageni?
Muelezeni mama yenu maana Mimi sio mama yangu ninae mama yangu huko kijijini ,
Muelezeni anaiuwa nchi kwa Sera zake mbovu
Halindi ajira za wazawa kiufupi anaua uchumi WA Taifa.
Wewe jipya unalo?Hauna hoja
Nakuheshimu kwakua wakukaja tofauti na hapo ningekupiga spanaWewe jipya unalo?
Kenge haelewi mpaka apigwe masikio yatoe damu. Hivyo hivyo mwanasiasa hatajali anaowangoza bila kukiwasha na kumwonyesha kuwa hampendi anachofanya. Kariri hili, litakufaa siku zijazo.Economic chain kaiua makusudi kabisa.
Mchina ni machinga kariakoo na mbaya zaidi wenye viwanda china wanazalisha na kuleta direct wao wenyewe, kikubwa Wana kampuni zao za clearing and forwarding , Wana meli zao za kusafirisha mizigo hapo Samia kafeli.
Nenda migodini chungwa, same , Singida , Wachina nao wapo kama wachimbaji wadogo lini leseni za wachimbaji mdogo zinatolewa kwa wageni?
Muelezeni mama yenu maana Mimi sio mama yangu ninae mama yangu huko kijijini ,
Muelezeni anaiuwa nchi kwa Sera zake mbovu
Halindi ajira za wazawa kiufupi anaua uchumi WA Taifa.
Spana zipi?Nakuheshimu kwakua wakukaja tofauti na hapo ningekupiga spana
Kwa hiyo mpaka tukinukishe ndio wataona wananchi tumechokaš¤Kenge haelewi mpaka apigwe masikio yatoe damu. Hivyo hivyo mwanasiasa hatajali anaowangoza bila kukiwasha na kumwonyesha kuwa hampendi anachofanya. Kariri hili, litakufaa siku zijazo.
Wanasema mama amefungua nchiEconomic chain kaiua makusudi kabisa.