Economic chain kaiua makusudi kabisa.
Mchina ni machinga kariakoo na mbaya zaidi wenye viwanda china wanazalisha na kuleta direct wao wenyewe, kikubwa Wana kampuni zao za clearing and forwarding , Wana meli zao za kusafirisha mizigo hapo Samia kafeli.
Nenda migodini chungwa, same , Singida , Wachina nao wapo kama wachimbaji wadogo lini leseni za wachimbaji mdogo zinatolewa kwa wageni?
Muelezeni mama yenu maana Mimi sio mama yangu ninae mama yangu huko kijijini ,
Muelezeni anaiuwa nchi kwa Sera zake mbovu
Halindi ajira za wazawa kiufupi anaua uchumi WA Taifa.