Seran nakupenda, njoo tuyajenge

Sio kweli mtaani anajulikana tu muulize yule bestie ake wanaitana ma BFF wanatembea na vibegi mgongoni
Kumbe mnatembeaga na tubegi, wavulana bwana😁
 
Ni muandiko tu hakuna lolote! Usitamani kabisa hutoipenda!
Mabandiko haya (hata kama ni utani au changamsha genge) ni lazima yatoke kwenye chemchem ya moyo wako.
Tofauti na hapo basi uigize, lakini pia huwezi kuigiza kipindi chote hiki...umekuwa Jangala!?
 
Mabandiko haya (hata kama ni utani au changamsha genge) ni lazima yatoke kwenye chemchem ya moyo wako.
Tofauti na hapo basi uigize, lakini pia huwezi kuigiza kipindi chote hiki...umekuwa Jangala!?
Mzee jangala! Una kumbukumbu!😆

Hapana basi tu lakini haileti picha nzuri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…