Seran nakupenda, njoo tuyajenge

Seran nakupenda, njoo tuyajenge

😅😅😅😅 red sio wangu mimi ni wa mtu mwingine,,,

eh kwanini mumkomeshe mwenzenu aloooo , mnataka watu wafe kwa presha😂
Hukumuona kwenye uzi wa nyumbu alivyonivaa? Wakawa wanasheherekea na limke lake😒

Kwahiyo humtaki kijana red?🤭 sisi tunataniana tu hapa ujue🙄
 
Hukumuona kwenye uzi wa nyumbu alivyonivaa? Wakawa wanasheherekea na limke lake😒

Kwahiyi humtaki kijana red?🤭 sisi tunataniana tu hapa ujue🙄
nilisoma replay nikacheka na kusikitika kwa pamoja, na leo baada ya kuona uzi nikawa sapraizid liyk hii ni kwelii au mtego 😂😂

huyo ni mdogo wangu upande wa mjomba wake shangazi yake na binam yake bibi mzaa ba mdogo wa mke mdogo kwa babu
 
Utakuwa hukusoma zote!

Sasa mimi Mdogo wangu wa 6 upande wa babu mzaa mume wa dada🤣
 
Utakuwa hukusoma zote!

Sasa mimi Mdogo wangu wa 6 upande wa babu mzaa mume wa dada🤣
nilichoka kusoma jamni, si unajua mi napenda nini lakin😀

kwahiyo unamkana bby wako red wakati huu uzi sijui wa sita namuona akikukwoti malavu lavu😇
 
Back
Top Bottom