Serbia imezishika nchi za Magharibi pabaya

Serbia imezishika nchi za Magharibi pabaya

Nato ziliingia kijeshi pale Kosovo kwa sababu ya majeshi ya Serbia yalikuwa yanafanya mass murders kwa minority wenye Imani ya kiislaam,hawa walikuwa wanauliwa kisa Imani zao za kidini
Hatuwaachii muendelee kupotosha. sababu ya Mgogoro wa Serbs na Kosovars hii hapa.
===

How did the conflict begin?​

Tensions between the ethnic Serbians, the majority of them Orthodox Christian, and their majority-Muslim ethnic Albanian neighbours to the south had simmered for centuries, exacerbated by frequently shifting geographical and political boundaries during the 20th century.
After the Balkan Wars of 1912-13, the majority-Albanian border region of Kosovo was absorbed into the Christian Serb-Croat Kingdom of Serbia.
Following the Second World War, Serbia became part of the Socialist Federal Republic of Yugoslavia, along with the modern-day states of Croatia, Bosnia and Herzegovina, Macedonia, Montenegro, Serbia and Slovenia.
Technically a province of Serbia - a majority Christian and ethnically Slavic nation - Kosovo was given autonomous status, allowing its ethnic Albanian Muslim majority, known as Kosovars, a degree of self-rule.


In the 1980s, tensions began to rise between the opposing powers within Serbia, as Kosovars pushed for increased independence while a rising tide of Serbian nationalism led others to call for the restive province to be placed under stricter central control.


In 1989, Serbian President Slobodan Milosevic began the process of abolishing Kosovo’s autonomy. Kosovan leader Ibrahim Rugova responded with a policy of nonviolent protest intended to draw international attention to the region’s plight. When this failed to work, Rugova’s more radical opponents gained ground, arguing that peaceful means would not achieve their demands.

In 1996, the guerilla Kosovo Liberation Army (KLA) - viewed as freedom fighters by most Kosovars but considered terrorists by the Serbian state - began open military operations against Serbian authorities. By 1998, counterterror police and Yugoslav armed forces were struggling to reassert control over what had essentially turned into an armed uprising.
The Kosovo War began in earnest in March 1998, after a clash between Serbian police and KLA militants in the Likosane area of Kosovo resulted in the deaths of 16 Kosovar fighters and four Serb policemen.
°°°°°

Why did outside forces intervene?​

Following the massacre of a group of 60 Kosovars, including 18 women and ten children, the Contact Group - composed of the US, UK, France, Germany, Italy, and Russia - demanded a withdrawal of Yugoslav and Serbian forces from Kosovo, the return of refugees, and unlimited access for international monitors.
In a famous address, then-US Secretary of State Madeleine Albright said that “this crisis is not an internal affair of the Federal Republic of Yugoslavia”.
Milosevic, who had become president of Yugoslavia, agreed to most of the West’s demands but failed to carry them out during an agreed ceasefire brokered by Russian President Boris Yeltsin. The KLA regrouped and rearmed during the ceasefire, renewing operations, including attacks on Serbian civilians in Kosovo.
In response to these attacks, the Yugoslav and Serbian forces launched a campaign of what the UN Security Council would later describe as “ethnic cleansing”.
 
Mkuu hii mada ina uchoyo wa ukweli, Nato ziliingia kijeshi pale Kosovo kwa sababu ya majeshi ya Serbia yalikuwa yanafanya mass murders kwa minority wenye Imani ya kiislaam,hawa walikuwa wanauliwa kisa Imani zao za kidini,mada za ukweli ni safi zaidi kuliko kuweka hizi mada zenye nusu uongo na kutumia lugha kama za mhariri wa gazeti la uhuru sio Safi.
Usilolijua zile zilikua propaganda za nato ili wapate sababu ya kuimega serbia,
Hawa jamaa wakiamua jambo lao litakua tu hata kama sio la kweli kama wafanyavyo nchi za mashariki ya kati.
 
Mkuu hii mada ina uchoyo wa ukweli, Nato ziliingia kijeshi pale Kosovo kwa sababu ya majeshi ya Serbia yalikuwa yanafanya mass murders kwa minority wenye Imani ya kiislaam,hawa walikuwa wanauliwa kisa Imani zao za kidini,mada za ukweli ni safi zaidi kuliko kuweka hizi mada zenye nusu uongo na kutumia lugha kama za mhariri wa gazeti la uhuru sio Safi.
Aliyekuaminisha hayo mauaji ni nani?
Je ulifanya uchunguzi wewe binafsi na kushuhudia yakitokea?
SIKIA. Media ni propaganda machine kwa nchi inayozitumia.

Hata Russia media zimesema wa Nazi wanaua watu. Ndio maana Russia ameingia ku ondoa Nazism.

Kwa kanuni yako Yuko sahihi

Sent from my SM-G955U using JamiiForums mobile app
 
Mkuu hii mada ina uchoyo wa ukweli, Nato ziliingia kijeshi pale Kosovo kwa sababu ya majeshi ya Serbia yalikuwa yanafanya mass murders kwa minority wenye Imani ya kiislaam,hawa walikuwa wanauliwa kisa Imani zao za kidini,mada za ukweli ni safi zaidi kuliko kuweka hizi mada zenye nusu uongo na kutumia lugha kama za mhariri wa gazeti la uhuru sio Safi.
Mimi ni muislamu na sikibaliani na hilo. Walikua na plan zao zingine. Hao waislamiu ilikua ni kichaka tu kujifichia
 
Ikumbukwe kuwa mnamo mwaka 1999 nchi zilizo chini ya NATO wakiongozwa na Marekani ziliishambulia na kuiharibu vibaya sana nchi ya Serbia (wa iliyokuwa Yugoslavia ya zamani). Nchi za magharibi zilikuwa zinalitetea jimbo la KOSOVO lililokuwa linataka kujitenga na Serbia. Uvamizi huo ulifanikisha KOSOVO kujitenga na kutambuliwa na nchi za magharibi.

Sasa nchi za magharibi zinaitaka Serbia kuunga mkono vikwazo vya nchi za magharibi dhidi ya Urusi na zinaitaka pia Serbia ilaani uvamizi wa Urusi nchini Ukraine. Sasa Serbia imeziambia nchi za magharibi zianze kwanza kuiomba msamaha kwa kuwa ziliivamia nchi yake (kama urusi alivyoivamia ukraine), na pia zitangaze kutokuitambua KOSOVO ili kuonesha zinaheshimu mamlaka ya kitaifa ya Serbia. Kinyume na hapo zikome kutaka kuifanya serbia kama askari wake wa miguu dhidi ya vita vyao na Urusi!!

Every time American or other Western officials call on Belgrade to impose sanctions on Russia, Vulin says he asks them when they would do the same over the violation of Serbia’s territorial integrity.
weka taarifa yako vzr , Serbia ilivamia nchi washirika wa Yugoslavia kulazimisha wabakie kuwa washirika wa Yugoslavia ( sio utaratibu kutumia jeshi kulazimisha muungano wa kitaifa au kishirikisho ) so NATO waliomba kibali kutoka EU na wakapewa ruhusa kwenda kutetea waliokuwa wanauawa na Waserbia huko Kossovo , Croatia , Bosnia , Slovenia nk , UshabikI usikufanye upike story na kuficha mabaya ya Serbia , yaan Tanganyika itumie jeshi kulazimisha muungano hlf ww uite ni sawa tu !
 
Yakwako pia uliyathibitisha,au umesimamia propaganda za beberu America na washirika wake,kumbuka hata Iraq alinyongwa Sadaam Kwa propaganda ovu za beberu America Kwa kisingizio Cha silaha za mass destruction [emoji848]
mkuu ww ni muislam ila mahaba yako yamekufanya ukawa mpuuz kiasi hicho ? Serbia aliua sana na kuvamia nchi washirika wenzie wa Yugoslavia , au kitabu ulichosoma kilianzia tu pale NATO walipoingia kuizuia Serbia n
kuendelea mauaj ?Siku ukifanyiwa ww ndo utaelewa nn maana ya mass murdering
 
Hizi ni sababu tu walizotumia mabeberu kuhalalisha uvamizi wao na wala hazina ukweli kwa kiasi wanachotaka tuamini. Kama walikuwa na mgogoro wa kidini basi ni mambo ya ndani ya nchi yaliyopaswa kusuluhishwa kwa njia ya amani na siyo kuingilia uhuru wa ndani! Unataka kuniambia mgogoro unaofukuta sasa Loliondo na ngorongoro unaweza kuwa sababu ya halali mataifa mengine kutushambulia ili kuwatetea wamasai? Hivi duniani hapa mgogoro wa kidini ulikuwa KOSOVO peke yake?
duh bongo vichaa wengi sana , so mabeberu walidanganya dunia nzima kuwa huko Yugoslavia hakukuwa na chochote ila ni uongo wa Mabeberu ili waivamie Yugoslavia maana kipind hicho Serbia haikuwa nchi , na baadae Mabeberu walilazimisha Croatia , Kossovo , Bosnia na Slovenia zijitenge licha ya kuwa zenyew hazikuta sabab Serbia aliwapenda washirika wenzie ila mabeberu walikuwa wanaipakazia Serbia , na Nahis mabeberu wanatudanganya kuwa Yugoslavia ilivunjika ila ukwel ni kuwa Yugoslavia bado ipo na hawatak kuwahaibisha Mabeberu wanasikilizia kwanza
 
Ulitaka Marekani watumie sababu gani kuhalalisha uvamizi wao? Maana Iraki walisema kuna silaha za maangamizi, Libya walisema Ghaddafi gaidi anaua watu nk. Usiwaamini sana Wamarekani, waongo wakubwa!
so Serbia hakuwai kuvamia majirani zake kabla ya Nato kuingia kusaidia ? Hv Iraq hakuwa kuivamia Iran ? je Ghadaf hakuwai msaidia Idd Amin kupora mkoa wa Kagera ? ushabiki unawatia uchiz sana , na nahis Yugoslavia bado ipo sabab walipendana sana na Mabeberu walikuwa wanawapakazia tu
 
Hivi kuna taifa lenye ubaya kuzidi Marekani duniani? Marekani ni taifa pekee lililowahi kutumia silaha za nyuklia dhidi ya taifa lingine (dhidi ya Japan), Marekani ilidanganya kuwa Sadam Hussein wa Iraq ana silaha za maangamizi, na wakatumoia kisingizio hicho kuishambulia Iraq na kuua makumi elfu ya raia wasio na hatia hadi Sadam Hussein akakamatwana kunyongwa!! Marekani hiyo hiyo iliishambulia Libya ya Gadafi na ikawadanganya na kuwarubuni walibya waasi dhidi ya kiongozi wao Gadafi ikiwadanganya kuwa Gadafi akiondoka watakuwa na maisha mazuri. Gadafi alikamatwa na kuuawa lakini LIbya ndo hiyo hadi leo haitawaliki na vita vya wenyewe kwa wenyewe bado vinaendelea!Hilo Taifa ovu kama Marekani leo haliwezi kujigeuza na kuwa mwalimu wa kufundisha na kusimamia haki za binadamu wakati yenyewe ni mharibifu na mvunjaji mkubwa wa haki za binadamu!! Serbia wako sahihi sana kuwatolea nje!!
OP kbs , jitahidin kutetea kwanz kinachozungumziwa , Serbia anataka aombwe msamaha eti alivamiwa ss tunauliza yeye alikuwa anapekea misaada kule Bosnia , Croatia , Kossovo na Slovenia ?
 
Hkun taifa duniani ,linaongoza kwa uhalifu Kama USA. mataifa mengi hivi Sasa hayakaliki yamejaa Vita kwa sababu ya USA .
 
Sasa hivi libya vijana wanaandamana maisha magumu
ni wao waliosimama kusema wanataka manadiliko ya Lowassa , ngoja wapumuliwe ss , hii ni dedication kwa wale waotaj wa mchana wanaoamin ushidn wa Urusi ni ukomboz kwao , kumbe ni kubadili mkolon kutoka wa zaman kuja mkolon mpya
 
Kwahiyo wewe Una waamini false flag USA !? Mpaka Leo hujui kuwa hao ni wapishi wazuri wa propaganda na wanapo taka kufanya mambo Yao kwaajili ya maslahi Yao Huwa Wana tumia dini kama Moja ya silaha zao Kwa kuwa brain wash watu , Nyie sindio mlikuwa mnasema Osama ana pigania dini ya mungu , kumbe ni CIA agent
ebu acha uzuz unahis Croatia , Bosnia na Slovenia bila kusahau Kossovo ni mazuzu wenzio yaan ipikwe habar wao wapo , yaan hawajavamiwa then mwingine asema wamevamiwa hlf wakae kimya , ebu fichen uchiz wenu hata kdg , Serbia iliua zipo video sio siri , pia zipo documentary
 
Imagine [emoji16][emoji16][emoji16]
na ndo mnakimbiliaga huko kila siku mpk mnaletwa Rwanda bado mnarud huko huko mnakodai hampendw , unafik wa hali ya juu , mudi akipata bahat ya kuona waislam wa leo ataua
 
Kuna nchi inayo ongoza Kwa kufanya hayo kama USA na NATO!? Wameua watu wangapi na wengine wakiwa acha homeless huku wengine wakiwa vilema !?
so hiyo ina halalishaj Serbia kuvamia majiran zake ? au Putin kuvamia Ukraine ? au India kuvamia Kashmir ? China kuvamia Taiwan ?
 
Back
Top Bottom