4by94
JF-Expert Member
- Oct 1, 2019
- 9,214
- 8,306
duh yaan ushabiki unakufanya umekuwa chiz kbs , hupati kitu kwenye huo uchiz wako , Unabadili mkolon tu URUSI ni USA mwingine , ebu jikite kwenye ukwel aseeUsilolijua zile zilikua propaganda za nato ili wapate sababu ya kuimega serbia,
Hawa jamaa wakiamua jambo lao litakua tu hata kama sio la kweli kama wafanyavyo nchi za mashariki ya kati.