Lord denning
JF-Expert Member
- Jun 3, 2015
- 15,819
- 33,255
+ KIFO NI KIFO TU, ila ili bumunda Lord denning linapiga kimyakimyaSisi Huku Samia anawaambia wateule wake kuleni rushwa Kwa urefu wa kwamba zenu
Wewe una ujinga wa aina fulani na chuki binafsi na JPM.Uwajibikaji na kuwajibishana ni moja ya nguzo kubwa sana ya maendeleo.
Huko Serbia aliyekuwa Waziri wa Ujenzi wakati wa Ujenzi wa Kituo cha Treni amekamatwa na kushtakiwa baada ya paa la kituo hicho kuanguka.
Tanzania tunakumbuka aliyekuwa Waziri wa Ujenzi wakati wa Ujenzi wa kituo cha Mabasi ya Mwendokasi kasi kilichojengwa kwenye eneo la Mafuriko jangwani na kupelekea kuharibika kwa magari mengi yaliyokuwa yanapakiwa kwenye eneo hilo alikuja kupitishwa na chama cha mapinduzi kuwa mgombea wa Urais na baadae alikuja kuwa Rais wa Tanzania wa Awamu ya Tano.
Kwa hali hii acha tu tuendelee kushangaa mafanikio ya wazungu!
View attachment 3189397
Ujinga upi?Wewe una ujinga wa aina fulani na chuki binafsi na JPM.
Kwani kipindi JPM akiwa ni waziri wa ujenzi nani alikuwa ni rais?
Waziri alipendekeza kituo kiwe Magomeni mapipa lakini wakubwa wake wakang'ang'ania kiwe hapo Jangwani kwenye mto Msimbazi halafu bila aibu unaibuka kumlaumu JPM hizo ni akili za mfu.
JPM alikufanya kitu mbaya, alipofariki tu ukajifanya kujisogeza kwa aliyepo lakini matarajio yako yakapotea hivi sasa unamponda kwa siri bila kumtaja huku ukurusha madongo kwa JPM.
Ungekuwa mtu wa maana ungemtaja JKM
Mkuu, ile video ni ya kweli au ya kutengeneza?? Kama ni ya kweli, nilisikitika sana siku ile..Sisi Huku Samia anawaambia wateule wake kuleni rushwa Kwa urefu wa kwamba zenu
Ulisikia statement ya mama Tibaijuka??Wewe una ujinga wa aina fulani na chuki binafsi na JPM.
Kwani kipindi JPM akiwa ni waziri wa ujenzi nani alikuwa ni rais?
Waziri alipendekeza kituo kiwe Magomeni mapipa lakini wakubwa wake wakang'ang'ania kiwe hapo Jangwani kwenye mto Msimbazi halafu bila aibu unaibuka kumlaumu JPM hizo ni akili za mfu.
JPM alikufanya kitu mbaya, alipofariki tu ukajifanya kujisogeza kwa aliyepo lakini matarajio yako yakapotea hivi sasa unamponda kwa siri bila kumtaja huku ukurusha madongo kwa JPM.
Ungekuwa mtu wa maana ungemtaja JKM
Watanzania hatuna pa kukimbilia, maana ni afadhali na ccm kuliko chadema ambako mwenyekiti ndiyo anayefanya michongo ya rushwa.Sisi Huku Samia anawaambia wateule wake kuleni rushwa Kwa urefu wa kwamba zenu
Hizi ni fikra mgando tu!Watanzania hatuna pa kukimbilia, maana ni afadhali na ccm kuliko chadema ambako mwenyekiti ndiyo anayefanya michongo ya rushwa.
Imagine ccm wameondoka halafu nchinimeshikwa na mpiga dili Mbowe!!!. Mlima Kilimanjaro asubuhi tu unakuwa ushauzwa.Hizi ni fikra mgando tu!
Nchi itaendelea na itapata maendeleo yasiyoelezeka hao CCM wakiondoka madarakani.
Ujinga upi?
Chuki gani dhidi ya JPM? Kutumia uhuru wangu wa kutoa maoni kumeanza lini kuwa chuki dhidi ya JPM?
Tupe ushahidi kuhusu yeye JPM kutaka kituo cha Mwendokasi kujengwa Jangwani?
Tupe ushahidi pia ya hao wakubwa waliokataa?
Kwasasa hamna chama pinzani kinachotoa matumaini ya kulifikisha hili taifa panapostaili , acha tu haohao CCM waongoze mpaka wapinzani watakapokuwa stable.Hizi ni fikra mgando tu!
Nchi itaendelea na itapata maendeleo
Bongo, wangeunda tume na hakuna chochote kinachofanyika Tena Baada ya hapo.Uwajibikaji na kuwajibishana ni moja ya nguzo kubwa sana ya maendeleo.