Serekali kupiga marufuku Boxer


mkuu wala hujakosea tatizo la hizi chupi za VIP zilikuwa zinakatika katikati ya mapaja so inaanza kupanda juu
 
Mimi VIP ishawahi kunikatikia shuleni halafu muda wa mapumziko saa nne ushapita patamu hapo niliiona siku ndefu kinoma sisimami kutoka kwenye dawati! Hapo kikamba cha kati kishakatika ngoma inakitafuta kifua daah ilipofika saa nane kengele kugonga tu nilitoka class natembea kama mgambo kuwahi home kubadili VIP then imagine enzi hizo ni zile za kung fu shoes chini nimepiga kung fu shoes natembea kama mgambo nimebana mikono VIP isipande kifuani! Yaani hata mimi hii heading ilinishtua sana nikajua tunarudishwa kwenye VIP na umri huu ikikukatikia kazini si lunch time unajifanya umefunga kumbe kitu kinatafuta chest!
 
weka picha ya boxer watu waone
 
Wizi kwa kutumia pikipiki unatisha sasa wamiliki. Wote wa pikipiki wasajiliwe Kama simu
 
inasemekana zinatumika sana kwenye wizi kwasababu zinakimbia sana kuliko sanLg na zingine. nilijiuliza hivi sanlg na zingine hazitumiki kwenye wizi/ujambazi?.....au kuna sababu zingine? tukipata polisi mmoja humu ndani jf atueleze.
 
duh............................
 
V.I.P zilikuwa ukivaa zinakatika alafu zinapanda juu mpaka kichwani
 
Hee nimeshtuka si nkajua sheria imepitishwa boxer marufuku tunarudi kwenye zile chu.pi za VIP! walahi ningekuwa Commando kipensi!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
mecheka hatar
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…