IGUDUNG'WA
JF-Expert Member
- Oct 22, 2011
- 2,071
- 1,317
Kuna siku kulikuwa na mechi kati ya waalimu na wanafunzi, teacher mmoja mmtu mzima alikuwa beki # 5 machachari mara huku mara kule anazunguka uwanja, mara akawa anatoka kumpisha mwingine, kwa uhaba wa jezi si akavua ampe mwingine, hope unakumbuka kuna wakati vest zilikuwa hazivaliwa sana, basi jamaa kutoa jezi ya juu watu wakashuhudia VIP imepanda usawa wa kifua! ilikuwa balaa...! si unakumbuka zilivyokuwa zinang'aa!!! Mngarooo hasa!
mkuu wala hujakosea tatizo la hizi chupi za VIP zilikuwa zinakatika katikati ya mapaja so inaanza kupanda juu