kidadari
JF-Expert Member
- Jul 26, 2012
- 8,647
- 9,604
kwa tetesi nalizopata kutoka kwa askari wa cheo cha juu katika jeshi la polisi ni kuwa serikali ipo mbioni kupiga marufuku uingizwaji wa pikippiki aina ya Bajaji (boxer) wa madai kwamba zinatumika sana katika matukio mengi ya ujambazi. ........je hii ni njia sahihi ya kupambana na uhalifi nchini hasa ujambazi?