Serekali kupiga marufuku Boxer

Serekali kupiga marufuku Boxer

kidadari

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2012
Posts
8,647
Reaction score
9,604
kwa tetesi nalizopata kutoka kwa askari wa cheo cha juu katika jeshi la polisi ni kuwa serikali ipo mbioni kupiga marufuku uingizwaji wa pikippiki aina ya Bajaji (boxer) wa madai kwamba zinatumika sana katika matukio mengi ya ujambazi. ........je hii ni njia sahihi ya kupambana na uhalifi nchini hasa ujambazi?
 
Ni kukosa busara huko, washindwe kudhibiti ujambazi wakimbilie kuzuia pikipiki? Shida siyo Boxer, tatizo ni mioyo ya watu!!!!!
 
Dah umeniacha hoi kwa kicheko,nadhani umeshapata mateso sana na VIP.

Kuna siku kulikuwa na mechi kati ya waalimu na wanafunzi, teacher mmoja mmtu mzima alikuwa beki # 5 machachari mara huku mara kule anazunguka uwanja, mara akawa anatoka kumpisha mwingine, kwa uhaba wa jezi si akavua ampe mwingine, hope unakumbuka kuna wakati vest zilikuwa hazivaliwa sana, basi jamaa kutoa jezi ya juu watu wakashuhudia VIP imepanda usawa wa kifua! ilikuwa balaa...! si unakumbuka zilivyokuwa zinang'aa!!! Mngarooo hasa!
 
kwa tetesi nalizopata kutoka kwa askari wa cheo cha juu katika jeshi la polisi ni kuwa serikali ipo mbioni kupiga marufuku uingizwaji wa pikippiki aina ya Bajaji (boxer) wa madai kwamba zinatumika sana katika matukio mengi ya ujambazi. ........je hii ni njia sahihi ya kupambana na uhalifi nchini hasa ujambazi?
hii ni sawa na kusema NCHI ZOTE DUNIANI ZIPIGE MARUFUKU MAGARI YA TOYOTA LANDCRUISER Pick UP-Mkonga maana vita zote za africa na nchi za kiarabu waasi wanazitumia ktk usafiri wa porini!wapige marufuku raia yeyote kuwa na silaha iwe kwa (umiliki wa halali au siyo halali) hapo walau ningeelewa lakii sii chombo cha usafiri.Hiyo tunajua ni mchina anaipiga vita product za india,Jee ingekuwa nao polisi wamepewa msaada pikipiki za Boxer wangesema hayo?
 
Kuna siku kulikuwa na mechi kati ya waalimu na wanafunzi, teacher mmoja mmtu mzima alikuwa beki # 5 machachari mara huku mara kule anazunguka uwanja, mara akawa anatoka kumpisha mwingine, kwa uhaba wa jezi si akavua ampe mwingine, hope unakumbuka kuna wakati vest zilikuwa hazivaliwa sana, basi jamaa kutoa jezi ya juu watu wakashuhudia VIP imepanda usawa wa kifua! ilikuwa balaa...! si unakumbuka zilivyokuwa zinang'aa!!! Mngarooo hasa!

kwii kwii kwii kwii kwii kwii kwii kwiiiiiii. Dah.....!!! Hii stori yako ilitaka kunitoa roho kwa kicheko, yaani nimekumbuka mbali sana daah.
 
hapo umenena mkuu...poor strategies!!! au ni kutengeneza mazingira ya rushwa toka kwa wahindi?
au kwa upande mwingine ni moja ya terms kwenye mkataba wa rais wa china tupunguze biashara wa washika wengine ikiwemo India anayeibuka kwa kasi kiuchumi?
 
kuna siku kulikuwa na mechi kati ya waalimu na wanafunzi, teacher mmoja mmtu mzima alikuwa beki # 5 machachari mara huku mara kule anazunguka uwanja, mara akawa anatoka kumpisha mwingine, kwa uhaba wa jezi si akavua ampe mwingine, hope unakumbuka kuna wakati vest zilikuwa hazivaliwa sana, basi jamaa kutoa jezi ya juu watu wakashuhudia vip imepanda usawa wa kifua! Ilikuwa balaa...! Si unakumbuka zilivyokuwa zinang'aa!!! Mngarooo hasa!

mama mbavu zangu. Jamani kweli ilikuwa kituko! Yaani nimecheka mpaka machozi, ha!
 
kwa tetesi nalizopata kutoka kwa askari wa cheo cha juu katika jeshi la polisi ni kuwa serikali ipo mbioni kupiga marufuku uingizwaji wa pikippiki aina ya Bajaji (boxer) wa madai kwamba zinatumika sana katika matukio mengi ya ujambazi. ........je hii ni njia sahihi ya kupambana na uhalifi nchini hasa ujambazi?

Hivi mara hii wameshazichoka hizi Bajaji. Nakumbuka wakati wa kampeni za uchaguzi uliopita zilimsaidia nanihii wenu kuingia White House kwa sababu aliahidi katika kampeni zake kuwa atawapa Bajaji akina mama wote wajawazito. Je, ahadi hii iliyosababisha watu wakampigia kura imeshatekelezwa? Au ni janja ya kuziondoa ili kufuta ahadi kimya kimya...
 
Yaani we acha tu... Huyu jamaa atakuwa amefurahisha wengi!

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums

Mkuu ni kweli sijatunga; yaani mbaya zaidi ticha ndo design zile za wanoko ile mbaya........mbona siku hiyo liliimshuka na akapata jina la aina hy ya chu.pi!

acheni jamani hadi watu wanang'ang'ania gesi kuna mambo yashavumiliwa sana! kuna wakatii nasikia kuva chupi ilikuwa ni kwa matajiri tu wa wakati huo!
 
Duuh umenikumbusha mbali sana maana zilikuwa zinashikiliwa na vinyuzi kwa chini hapa mwenye ukilala ukiamka unaikuta kwenye makwapa hapo inakuwa imeachia kwenye muunganiko katikati ya mapaja. Zilipata umaarufu hizi aisee na box lake lina kisehemu transparent wakati unanunua unacheck rangi ya ile michirizi. Ukienda kucheza SAMBI aka CHANDIMU unavua shati huku kaptura imeshuka chini kidogo inaonekana na wewe unaonekana umevaa kitu ndani (nadhani hii milegezo ya sasa ilianzia mbali though zamani watoto ndio walikuwa wanatishiana nyau kwa kuonyeshana nani ana kitu kipya wakati wanacheza kombolela.
 
Back
Top Bottom