Serena Williams afunga ndoa na Alexis Ohanian

Mwanaume mzuri huyu kiufupi serena amepata mume mwema atulie..nilisikia mahal wanasema bibie alikua anapondwa na mablack wanaume kua et kakomaa sana ndo maana akaamua ajibebe mzungu wake!ndoa ni kitu chema kila lakheri Bibie.
ilaamekomaa kinoma😀😀
 
Ila Serena ana ma.tako magumuuuu balaa, mwanamke lazima awe soft bana.. kila la kheri kwake
 
natamani na mimi demu wa kizungu kwa kweli mbele huko raha sana mfano usa ukitaka chinese unapata ukitaka japanese coz ni mchanganyiko mzuri wa watu wa marekan mbaka familia zimechanganyikana raha kishenzi sio rangi mojaa kijiji kizima
 
Mwanaume mzuri huyu kiufupi serena amepata mume mwema atulie..nilisikia mahal wanasema bibie alikua anapondwa na mablack wanaume kua et kakomaa sana ndo maana akaamua ajibebe mzungu wake!ndoa ni kitu chema kila lakheri Bibie.
hiyo wewe tu mablack wanagombana kila leo nyumbani kwake ukusikia hiyo sema huyu zungu ni jamaa yake kitambo wanagombana na wanapatana
 
Mimi huyo mzungu angekuwa black dizaini na umbo hilohilo.....Ebu naache kuota
 
Ana nyonyo kubwa hatari, ila ndo hivyo manyonyo ni maua hata ukiwa nayo madogo shukuru wasipiyaona wanaume Mungu anayaona kwa utukufu wake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…