Sky Eclat
JF-Expert Member
- Oct 17, 2012
- 57,761
- 216,011
Harusi za wenye pesa wanabadili hata mara 4-5 mkuuExcuse mi alibadili hizo gauni mara ngapi?wenye macho yetu
Hongera ake
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Harusi za wenye pesa wanabadili hata mara 4-5 mkuuExcuse mi alibadili hizo gauni mara ngapi?wenye macho yetu
Hongera ake
Miaka yake Inahusikaje kwenye ndoa yake. Acha majungu...Hivi ana miaka mingapi huyu dada
[emoji1] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] dera na mtandio saaaafi kabisa!Tayar wabongo wameshamchamba ati bora angevaa dera tu
Alichemaka wapi ulitaka hayakate ???Hahahaaaa kupatwa kwa nyonyo
Dizaina alichemka kwakweli
Mkaka mzurii
AsanteeeMi napendaga hiyo avata yako daaaa
Majungu unayo wewe ndo maana hujiamini. Mi nimeuliza kwa uzuri sababu kila Sikh anaonekana msichana tena mrembo. Mi nampenda sana. Kazi kwako we usiejiamini mwenyewe majungu. Hujui umri wake ungrpiga kimya mkuu, acha porojoMiaka yake Inahusikaje kwenye ndoa yake. Acha majungu...
Hahahahaaaa nani kasema tena ndo ntalikutia gauni kitovun ama bra ihusike,na fashoooo ndo ishakufa.
mbona hayo mengine yamekaa mkao
Apo pakukutanisha maziwa hapakustahili kua hvyo kwa mtu mwnyw ziwa..........hivi hakulijaribu kabla
ZipiSafi sana huwa nakubali kazi zake huyu malkia
Nakataa kabisa..toto linapiga msamba hata wa vigodoro wangekubali, lina nyonyo, limejaaliwa kule nyuma, kiuno chembamba, sauti safi, lina hela..]Mwanaume mzuri huyu kiufupi serena amepata mume mwema atulie..nilisikia mahal wanasema bibie alikua anapondwa na mablack wanaume kua et kakomaa sana ndo maana akaamua ajibebe mzungu wake!ndoa ni kitu chema kila lakheri Bibie.
Ha ha ha hivi mnajua wanaume huwaga ni vegeugeu kwenye choices..ndo nasikia wenzio wa kule walikua wanampa shades za ukomavu..ila wewe kaka angu wa huku ume mind mzigo...[emoji23] muzungu ndo keshakupiku anaenda kukamatia chini.Nakataa kabisa..toto linapiga msamba hata wa vigodoro wangekubali, lina nyonyo, limejaaliwa kule nyuma, kiuno chembamba, sauti safi, lina hela..]
Nakataa kabisa..labda sisi weusi tuliogopa kumtaka awe mke wetu, hapo nitakubali...
Lizungu limechukuwa mzigo, na "imependeza" -Dr. Shika..