Serena Williams afunga ndoa na Alexis Ohanian

Serena Williams afunga ndoa na Alexis Ohanian

Congratulations....amejitaid kualika Afro-America wa kutosha
 
Hahahahaaaa nani kasema tena ndo ntalikutia gauni kitovun ama bra ihusike,na fashoooo ndo ishakufa.
mbona hayo mengine yamekaa mkao
Apo pakukutanisha maziwa hapakustahili kua hvyo kwa mtu mwnyw ziwa..........hivi hakulijaribu kabla

[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28] mambo namna gani tena

c02c9fdba2557e462286a500b9ff6f2d.jpg
 
Halafu hili jamaa halipendwa tu kihivi hivi, lina asili ya u "bad boy", thats attractive to some women like Serena?! Maybe..Liko vizuri...
 
Mwanaume mzuri huyu kiufupi serena amepata mume mwema atulie..nilisikia mahal wanasema bibie alikua anapondwa na mablack wanaume kua et kakomaa sana ndo maana akaamua ajibebe mzungu wake!ndoa ni kitu chema kila lakheri Bibie.
 
Nakataa kabisa..toto linapiga msamba hata wa vigodoro wangekubali, lina nyonyo, limejaaliwa kule nyuma, kiuno chembamba, sauti safi, lina hela..]
Nakataa kabisa..labda sisi weusi tuliogopa kumtaka awe mke wetu, hapo nitakubali...
Lizungu limechukuwa mzigo, na "imependeza" -Dr. Shika..
 
Ha ha ha hivi mnajua wanaume huwaga ni vegeugeu kwenye choices..ndo nasikia wenzio wa kule walikua wanampa shades za ukomavu..ila wewe kaka angu wa huku ume mind mzigo...[emoji23] muzungu ndo keshakupiku anaenda kukamatia chini.
 
Back
Top Bottom