Serengeti: Baba afumwa akishiriki ngono na Binti yake wa miaka 11

Serengeti: Baba afumwa akishiriki ngono na Binti yake wa miaka 11

Haya mambo yapo sana kanda ya ziwa...nilikua naangalia kipindi flan TBC mambo mengi wanamaliza kifamilia...ndo shida inapoanzia
Mkuu si kweli kuwa Ni kanda ya ziwa tu,sema Tanzania mzima,nimekuwa Lindi kwa miaka 10 kesi hizi nimezisikia sana na zingine nilihusika katika usuruhishi,je Lindi nayo ni kanda ya ziwa? Au tamaa za ngono zina ukanda.?

Sent from my TECNO KB7j using JamiiForums mobile app
 
Polisi wilaya ya Serengeti mkoani Mara inamshikilia mkazi wa kitongoji cha Chamoto, Ikwabe Gibogo (58) kwa tuhuma za kumwingilia kimwili mtoto wake wa kike mwenye umri wa miaka (11).

Mwenyekiti wa Kitongoji hicho, Chacha Nyambuche amekiri mtuhumiwa kukamatwa Januari 23, 2021 usiku baada ya polisi kupata taarifa kutoka kwa wasamaria wema na kumkuta nyumbani kwake amelala chini pamoja na mtoto huyo wote wakiwa hawajavaa nguo.

Mmoja wa majirani amesema mtoto huyo ameingiliwa kwa muda mrefu na baada ya kujiridhisha waliamua kutoa taarifa kwa kiongozi wa kitongoji na polisi walipofika waliwapa ushirikiano.

“Huyo mtoto hajaanza shule mpaka sasa, mama yao aliachana na baba yao baada ya kubaini anamuingilia mtoto wake mkubwa. Aliondoka na watoto wadogo kwenda Simiyu, hata hivyo, alifariki dunia ndipo mtuhumiwa akafuata watoto na kuja kuishi nao,” amesema jirani huyo kwa sharti la kutotajwa jina.

Daah... hii ni ushirikina ni nini? Au ni mwanasiasa guyu anatafuta mitano tena?
 
Huyo Mzee naye amezingua. Ngoja alipie tu maovu yake yote aliyotenda hapa duniani. Yaani mtoto wako ndiyo umfanyie ujinga huo!! That is too much.
 
Hiyo mikoa ya huko Kuna ujinga mwingi sana wa kudhalilisha wanawake
 
Huyu anatakiwa afugwe zizini na nguruwe. Akae banda moja na nguruwe mpaka kifo chake. Awekewe sehemu yake ya kula ila iwe chini kama nguruwe ili kumfanya ajione bado ana hadhi sababu anafanana na binadamu. Manguruwe yakiwa kwenye heat apewe kama atajisikia ayapande akisusa wapewe nguruwe wengine.
Napinga hili,kumfungia kwenye nguruwe ni kuwaonea hao wanyama na kutuharibia chakula,yaani awapande nguruwe wamekosa nini,huyo ahasiwe kabisa au akatwe kikojoleo kama sio kunyongwa
 
gNapinga hili,kumfungia kwenye nguruwe ni kuwaonea hao wanyama na kutuharibia chakula,yaani awapande nguruwe wamekosa nini,huyo ahasiwe kabisa au akatwe kikojoleo kama sio kunyongwa
Hapana ukimyonga utampa hadhi ya kina Mkwawa, ukimhasi atanenepa
kama atachafua nguruwe basi awe anapewe viagra kila siku jioni na kufungiwa bandani mwenyewe halafu asubuhi wanampa P2 ili asijipe mimba. Maana inawezekana mtoto wake kamnywesha sana p2 asishike mimba.
 
[emoji3][emoji3]
 
Daah ila huyu mzee bwege sana aisee!! Sijui hali anayokuwa nayo mtoto aisee.. Uyu anatakiwa Jela maisha
 
Nilivyoona serengeti nikajua kamuingilia pundamilia kumbe ni hivi ......loh
 
Huyu anatakiwa afugwe zizini na nguruwe. Akae banda moja na nguruwe mpaka kifo chake. Awekewe sehemu yake ya kula ila iwe chini kama nguruwe ili kumfanya ajione bado ana hadhi sababu anafanana na binadamu. Manguruwe yakiwa kwenye heat apewe kama atajisikia ayapande akisusa wapewe nguruwe wengine.
Acha kudhalilisha mboga yetu takatifu.
 
Sema akibaka na sio kishiriki, kushiriki inamaana kuna watu wawili wenye nia moja ambapo kwa hii sio kweli
 
Back
Top Bottom