Serengeti Boys kufungwa baada ya Siasa na Presha kuingizwa!

Jaji Mfawidhi

JF-Expert Member
Joined
Feb 20, 2016
Posts
17,434
Reaction score
27,177
Serengeti Boys , leo 22:00 hrs inacheza fainali na Senegal. Safari ilianza mbali na hakuna aliyekuwa anajua isipokuwa sisi wachache tuliokuwa tunaifuatilia kupitia youtube channela ya CAF WHERE TO WATCH: TotalEnergies CAF Under-17 Africa Cup of Nations Morocco 2026 Final.

Wakati timu ilipofika fainali , sasa wakaibuka watu, ambao hatuwezi kuwaita wanfiki au wasaka fursa ila wanaweza kuitwa wasio waharibifu, kumbuka hawa serengeti inasemekana ni vijana chini ya miaka 17 , japo mengine tuyaache lakini hawana saikolojia ya kuhimili presha , sasa watu wamebebana , wanazua mijadala na kuwapa presha hawa watoto , kitakacho tokea ni kwamba hakuna atakaye himili bali kila mmoja atataka afunge ili aonekan shujaa.

MATOKEO YAKE: Hii mechi tutafungwa 3-0 na tutarudi na hasara na presha tumewatia. Michezo iachwe kwa wanamichezo na siasa ziwe za wanasiasa.
 
Tumevuna tulichopanda.

Asante SENEGAL , hatujifunzi, tutaendelea na huu ujinga na hii timu nusu yaje wataiahia kuwa bidaboda la goal keeper
 
Team Hamasa waliopelekewa Vijana chini ya Miaka 17 , Serengeti Boys
IMG_1716.jpeg
 
Serengeti Boys , leo 22:00 hrs inacheza fainali na Senegal. Safari ilianza mbali na hakuna aliyekuwa anajua isipokuwa sisi wachache tuliokuwa tunaifuatilia kupitia youtube channela ya CAF WHERE TO WATCH: TotalEnergies CAF Under-17 Africa Cup of Nations Morocco 2026 Final.

Wakati timu ilipofika fainali , sasa wakaibuka watu, ambao hatuwezi kuwaita wanfiki au wasaka fursa ila wanaweza kuitwa wasio waharibifu, kumbuka hawa serengeti inasemekana ni vijana chini ya miaka 17 , japo mengine tuyaache lakini hawana saikolojia ya kuhimili presha , sasa watu wamebebana , wanazua mijadala na kuwapa presha hawa watoto , kitakacho tokea ni kwamba hakuna atakaye himili bali kila mmoja atataka afunge ili aonekan shujaa.

MATOKEO YAKE: Hii mechi tutafungwa 3-0 na tutarudi na hasara na presha tumewatia. Michezo iachwe kwa wanamichezo na siasa ziwe za wanasiasa.
RASMI: TIMU ya Taifa ya Tanzania kwa vijana wa umri chini ya miaka 17(Serengeti Boys) wamepoteza fainali ya Kombe la Mataifa Afrika kwa vijana wa rika hilo (AFCON U-17) kufuatia kipigo cha penalti 4-2 dhidi ya Simba wadogo wa Teranga, Senegal.

Senegal U-17 wametwaa ubingwa wa Kombe hilo kwa mara ya pili kihistoria baada ya kutwaa kombe hilo pia mwaka 2023.

FT: Senegal 🇸🇳 1-1 🇹🇿 Tanzania (P: 4-2)
⚽ 64’ Dione
⚽ 07’ Mihambo

MATUTA:
🇸🇳: ✅✅✅✅
🇹🇿: ✅✅❌❌
 
Na hawa walikuwa wangapi? Kwamba wakiona watoto Wazuri jukwaani asee wanapandisha Mori😁
Ndege ilikuwa na mtu 250, sasa kwa haraka haraka hawa unavyo ona walikuwa wangapi?
Wacha wale waliolishwa nyama ya nanii!
 
bora tulivyofungwa tu maana sio kwa misifa hio ya Makonda.
 
Back
Top Bottom