Jaji Mfawidhi
JF-Expert Member
- Feb 20, 2016
- 17,434
- 27,177
Tumevuna tulichopanda.Serengeti Boys , leo 22:00 hrs inacheza fainali na Senegal. Safari ilianza mbali na hakuna aliyekuwa anajua isipokuwa sisi wachache tuliokuwa tunaifuatilia kupitia youtube channela ya CAF WHERE TO WATCH: TotalEnergies CAF Under-17 Africa Cup of Nations Morocco 2026 Final.
Wakati timu ilipofika fainali , sasa wakaibuka watu, ambao hatuwezi kuwaita wanfiki au wasaka fursa ila wanaweza kuitwa wasio waharibifu, kumbuka hawa serengeti inasemekana ni vijana chini ya miaka 17 , japo mengine tuyaache lakini hawana saikolojia ya kuhimili presha , sasa watu wamebebana , wanazua mijadala na kuwapa presha hawa watoto , kitakacho tokea ni kwamba hakuna atakaye himili bali kila mmoja atataka afunge ili aonekan shujaa.
MATOKEO YAKE: Hii mechi tutafungwa 3-0 na tutarudi na hasara na presha tumewatia. Michezo iachwe kwa wanamichezo na siasa ziwe za wanasiasa.
RASMI: TIMU ya Taifa ya Tanzania kwa vijana wa umri chini ya miaka 17(Serengeti Boys) wamepoteza fainali ya Kombe la Mataifa Afrika kwa vijana wa rika hilo (AFCON U-17) kufuatia kipigo cha penalti 4-2 dhidi ya Simba wadogo wa Teranga, Senegal.Serengeti Boys , leo 22:00 hrs inacheza fainali na Senegal. Safari ilianza mbali na hakuna aliyekuwa anajua isipokuwa sisi wachache tuliokuwa tunaifuatilia kupitia youtube channela ya CAF WHERE TO WATCH: TotalEnergies CAF Under-17 Africa Cup of Nations Morocco 2026 Final.
Wakati timu ilipofika fainali , sasa wakaibuka watu, ambao hatuwezi kuwaita wanfiki au wasaka fursa ila wanaweza kuitwa wasio waharibifu, kumbuka hawa serengeti inasemekana ni vijana chini ya miaka 17 , japo mengine tuyaache lakini hawana saikolojia ya kuhimili presha , sasa watu wamebebana , wanazua mijadala na kuwapa presha hawa watoto , kitakacho tokea ni kwamba hakuna atakaye himili bali kila mmoja atataka afunge ili aonekan shujaa.
MATOKEO YAKE: Hii mechi tutafungwa 3-0 na tutarudi na hasara na presha tumewatia. Michezo iachwe kwa wanamichezo na siasa ziwe za wanasiasa.
Wewe ni nabiikama Lema, bora ukae na familia yako mupigiane hadithi za Kina Mangi meli n Marialle.Nilipoona tu watu wanajipakulia minyama nikajua sasa baasi.
Na hawa walikuwa wangapi? Kwamba wakiona watoto Wazuri jukwaani asee wanapandisha MoriπTeam Hamasa waliopelekewa Vijana chini ya Miaka 17 , Serengeti Boys
View attachment 3600310
Ndege ilikuwa na mtu 250, sasa kwa haraka haraka hawa unavyo ona walikuwa wangapi?Na hawa walikuwa wangapi? Kwamba wakiona watoto Wazuri jukwaani asee wanapandisha Moriπ
"Bwana gundu" hajifunzi tu!Kila penye mafanikio kuna watu wakiingia tu ni gundu
CCM kila sehemu wanatanguliza siasa! Sijui wana shida gani.
Team gundu, kila wanapo jitokeza kwenye issue tunafeli!!
Naomba msiwazomee hawa watoto, wao walikuwa na nia njema, TEAM GUNDU ndio imewaingilia!Nimeiona muda huu TEAM GUNDU idiot yametua
. Yaani wamewatia gundu madogo
πππTeam Hamasa waliopelekewa Vijana chini ya Miaka 17 , Serengeti Boys
View attachment 3600310
Endeleeni kula minyama, CAG atatujuza hasara mliyoitia serikali!πππ
Hapa Senegal ni raha tupu