Starboywiz
JF-Expert Member
- Nov 28, 2016
- 867
- 1,455
Kaka zao ndo watapigwa hadi wachakaee
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu U 17 na mariam birian lazima tupasuke tu hahahaBongo nyosoo Sana...wachezaji wanajua habari za mariah birian
Nayo gundu tupuMwenyeji hata kushinda mechi moja kutoa gundu!!!!!!!! Inasikitisha sana. Kamati ya uhamasishaji iko wapi?
😁😁😁Kuweni wazalendo jamani kama mlivyokuwa mnaelekezwa na kamati ya Uhamasishaji!!
Kila game average ni goli 4Mechi 3 goal 12[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mkuu makundi yote sawa tuHawa watoto tuwatie moyo wamejitahidi sana kundi lao lilikuwa gumu sana kuliko makundi yote"kasema kocha wao
Viti maalum ndo hiyo tumepigwa,maana East Africa ilifuzu Uganda tuDah! Japo tumeandaa sisi wenyewe mashindano,
Kwani hakuna nafasi za viti maalum? [emoji23]
Nitashangaa Kocha asijiuzuluPiga chini Waziri mwenye Dhamana na Naibu wake.
Aibu sana hii.
Hata mimi mgeni tumuulize bashite!serengeti boys ndio kitu gani jamani?
Inaboa sana hata akina zaheraNdiyo matokeo ya kucheza mpira kwenye Magazette.
Kina Shafii walikuwa wanawasifia ujinga mara Marcelo mara kelvin mbappe
Kasema kocha waoMkuu makundi yote sawa tu
Hahahaa...... Wakudadavuwa yuko busy na Tundu Lisu ameisahau kabisa Serengeti boys!Piga chini Waziri mwenye Dhamana na Naibu wake.
Aibu sana hii.
Sahihi mkuuBongo ni mabingwa wa umbeya,majungu,kuunga mkono juhudi,unafiki ,ngono ndo machampion