Serengeti boys yaaga mashindano kwa kapu la magoli

Serengeti boys yaaga mashindano kwa kapu la magoli

Tatizo la nchi yetu ni kwamba Watu walioko juu kwenye maswala ya michezo hawana uchungu na nchi afu cha pili hawana idea kuhusu mpira kwa mfano huyu rais mpya wa tff hajui chochote anaonekana tu ameingia pale kwa malengo yake mengine..kama kweli mtu angekuwa na uchungu wa hii nchi na ana idea ya mpira lazma mtu akiingia pale atafute mbinu za kutaka kupata asilimia 80% ya vipaji vilivyopo nchi nzima sisi tumeshakalili tu kwamba wachezaji au vipaji vipo mwanza na dar lakn ukwli ni kwamba Tz kuna vipaji sana kama huko senegal, ivory coast, nigeria Ghana na kwingineko ila viongozi walioko mbele yetu hawafikirii hilo..Tz kuna watu wanapiga mpira balaa acheni tu.
Wanatumia michezo kama platform ya kuwa maarufu na kufanya Siasa,
 
Mafanikio yoyote yana gharama, sasa kama pesa yote mnapeleka kwenda kuwanunua akina Waitara na Nasari ndio waunge mkono juhudi mnategemea nini. Tamevuna tulichokipanda.
 
Ukikutana na kocha wa dizaini hii hakika anapaswa kuchapwa viboko kabisa hii inadhihirisha ni kiasi gani alivyo-dhaifu kichwani.
Hawa watoto tuwatie moyo wamejitahidi sana kundi lao lilikuwa gumu sana kuliko makundi yote"kasema kocha wao
 
Back
Top Bottom