Akwota
JF-Expert Member
- Dec 15, 2016
- 791
- 633
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23],Bongo ni mabingwa wa umbeya,majungu,kuunga mkono juhudi,unafiki ,ngono ndo machampion
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23],Bongo ni mabingwa wa umbeya,majungu,kuunga mkono juhudi,unafiki ,ngono ndo machampion
Sababu dhaifuKasema kocha wao
Wanatumia michezo kama platform ya kuwa maarufu na kufanya Siasa,Tatizo la nchi yetu ni kwamba Watu walioko juu kwenye maswala ya michezo hawana uchungu na nchi afu cha pili hawana idea kuhusu mpira kwa mfano huyu rais mpya wa tff hajui chochote anaonekana tu ameingia pale kwa malengo yake mengine..kama kweli mtu angekuwa na uchungu wa hii nchi na ana idea ya mpira lazma mtu akiingia pale atafute mbinu za kutaka kupata asilimia 80% ya vipaji vilivyopo nchi nzima sisi tumeshakalili tu kwamba wachezaji au vipaji vipo mwanza na dar lakn ukwli ni kwamba Tz kuna vipaji sana kama huko senegal, ivory coast, nigeria Ghana na kwingineko ila viongozi walioko mbele yetu hawafikirii hilo..Tz kuna watu wanapiga mpira balaa acheni tu.
Kweli kabisa kiongozi.Wanatumia michezo kama platform ya kuwa maarufu na kufanya Siasa,
Hawa watoto tuwatie moyo wamejitahidi sana kundi lao lilikuwa gumu sana kuliko makundi yote"kasema kocha wao