Usitake kusikia hasira zetu shabiki wa Liverpool.Kwanini ndugu zetu wa Barca ndio mnamtukana sana Ramos kuliko jamaa wa liver ?
Ni mtu yeyote mweusi aliyezakiwa Africa....leta swali jinginekwani muafrica ni nani? labda ungetusaidia
Nguvu nyingi pia ndio inayokatiwa kwenye mpira wa miguu. Hivi unafikiri lile shuti la Bele angelipiga bila nguvu nyingi ule mpira kipa si angeumudu na goli likakosekana?Ramos ni mpuuzi sana huyo jamaa, anapenda kutumia nguvu nyingi awapo mchezoni madhara yake ndio kama hayo!
Mpuuzi ,nilikuwa nimekaa kaskazini mwa uwanja, nilitamani nimrushie hata kiatu
Kwa nini mkuu!Marecelo + Benzema hii Combination naichukia balaa
[emoji3] [emoji38]Mpuuzi ,nilikuwa nimekaa kaskazini mwa uwanja, nilitamani nimrushie hata kiatu
Ni mtu yeyote mweusi aliyezakiwa Africa....leta swali jingine
Ramos ni mpuuzi sana huyo jamaa, anapenda kutumia nguvu nyingi awapo mchezoni madhara yake ndio kama hayo!
Ni mtu yeyote mweusi aliyezakiwa Africa....leta swali jingine
Amina
lijinga hilo limefanya kazi liliyotumwa jana hafu linaongea kinafki. kaniuzi sana
kweli bigwa ntetezi aliyewatoa mabingwa wa ligi mbalimbali kama psg,juve na buyern aje kufungwa na muwania top 4 haya maajabu yalikua ezi za musa tyu