Sergio Ramos amtakia Mohammed Salah uponaji wa haraka na kusema hakudhamiria kumuumiza

Sergio Ramos amtakia Mohammed Salah uponaji wa haraka na kusema hakudhamiria kumuumiza

As long as origin yako imekuwa defined katika mipaka ya bara la Afrika wewe ni muafrika. Suala la rangi wala sio ishu hata wazungu wapo weusi lakin still ni wazungu. Kwa mtu yeyote ambaye anataka kulipinga hili anijie na uthibitisho kwamba ukiwa mwarabu/mweupe wewe sio mwafrika.
 
Ramos ni mpuuzi sana huyo jamaa, anapenda kutumia nguvu nyingi awapo mchezoni madhara yake ndio kama hayo!
Nguvu nyingi pia ndio inayokatiwa kwenye mpira wa miguu. Hivi unafikiri lile shuti la Bele angelipiga bila nguvu nyingi ule mpira kipa si angeumudu na goli likakosekana?
 
Hata kama mo asingeumia akatoka uwanjani Madrid wangebeba kombe . Pona haraka Mo uwahi WC
 
Mtu unamwita Ramos Mpuuzi, wakati unajua fika huwezi kupewa hata kibarua cha kudeki choo chake
 
Stupid& Thug Ramos...alitaka kumvunja ata Mane mkono...yule anatakiwa akutane na beki mjanja amvunje mguu adi mfupa utoke nje
 
Hata mimi nachezaga nafasi ya beki ...kazi yetu ndio kazi ileile aliyoifanya Ramos
 
Huyu Sergio Ramos ni mpumbavu sana na hiyo si bahati mbaya ni makusudi ndiyo aina ya uchezaji wake huo. Kaharibu mechi nzima kwa sababu yake pumbavu sana huyo. Kanifanya mpaka nimeumia kichwa.

Watu tulitaka tuone Ronaldo vs Salaah. Yeye kaharibu mechi. Pumbavu sana huyu jamaa.
 
lijinga hilo limefanya kazi liliyotumwa jana hafu linaongea kinafki. kaniuzi sana

Kaniudhi sana yaani. Ningelikuwa natizama mechi pale uwanjani ningelimuingulia mulemule punguwani waheed yule.
 
kweli bigwa ntetezi aliyewatoa mabingwa wa ligi mbalimbali kama psg,juve na buyern aje kufungwa na muwania top 4 haya maajabu yalikua ezi za musa tyu

Mpira kweli ni mapambano ila mbinu aliyotumia Sergio Ramos ni ya kitoto sana. Madrid si timu bora?!! Wangeacha waoneshane ufundi sasa sio ujambazi aliyoufanya ule.
 
Back
Top Bottom