Sergio Ramos katumia Kiswahili katika akaunti yake

Mufasa ni baba yake Simba. Wewe hutaelewa kaangalie kwanza Film inaitwa The Lion king. La sivyo hapa natwanga maji kwenye kinu.
Bora nimwage mchele chini, nianze kuokota punje moja moja... Kuliko kupoteza muda kuangalia ushenzi..
ET simba anaitwa Mustafa..

Punguzaga ujuaji yeye Ramos hajasema Kama katoa huo msemo kwenye hiyo movie.
Ila wewe unashoboka "kaitoa humo nna uhakika "

Bure kabisa..
 

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Halafu ni MUFASA maana yake Mfalme


Sent from my iPhone using Tapatalk
 
Hadi aseme?Huna akili za kudetect ?
 
Cha ajabu kipo wapi ? Inferioty complex inawasumbua. Mzungu akitumia kiswahili mnaona deaaalllllll?
Mkuu achana na hao vijana wa Tandale na Buza wanajua movie za kina kingwendu ... Sidhani kama wameshawahi kufika hata hapo tarangire au ngorongoro waone hiyo misemo inavyosemwa na wazungu kama wanakunywa maji...


Nchi hi imeharibu Sana vijana laiti vijana wangepewa exposure ya walau kutembea wasingekuwa wanashangaa huu ujinga...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wewe huwa una utoto.. Na si mara ya kwanza mtu kukwambia una utoto leo.... Beyonce alivyoimba kiswahili watu wakapost humu,mbona hamkupeleka kengele zenu huko...pita tu kama hujapenda
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Akili Kama hizi ni ushahidi tosha nchi hii imejaa vijana misukule ...


Nenda mbuga za wanyama this high season uone maajabu ya wageni na hizo sloga wewe zwazwa wa Tandale

Sent using Jamii Forums mobile app
Umekazana tandale, tandale
au unadhani anakaa tandale kama wewe?

Hiyo inferiority complex Wewe ndo inakusumbua sasa..
Vya kwenu unaona mavi vya watu ndo Dili..!
Unahamasisha waangalie hiyo movie ya Disney.. Kwanini usihamasishe waangalie movie za kiafrika mbona ziko nyingi?

Kosa lake lipi sasa kuileta hiyo habari hapa ikiwa jf sio ya babako wala yako??

Shwain
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…