Paula Paul
JF-Expert Member
- Oct 23, 2019
- 4,649
- 13,607
The Lion King si imetoka mwaka Jana?unaijua film ya THE LION KING? Huo msemo kautoa humo.
Nadhani huo msemo upo unatumika kitambo sana.
Na simba yupo hivo hivo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
The Lion King si imetoka mwaka Jana?unaijua film ya THE LION KING? Huo msemo kautoa humo.
Nimemuuliza hapo ananipiga chenga mara ooh eti kaweka emoji ya simba so atakuwa kaangalia.. 😀😀😀Hiyo king lion mliangalia wote na Sergio akakwambia amelipenda hilo neno?
Sent using Jamii Forums mobile app
Acha kunivunja mbavu dada yangu.The Lion King si imetoka mwaka Jana?
Nadhani huo msemo upo unatumika kitambo sana.
Na simba yupo hivo hivo
View attachment 1327083
King Lion ilishawahi kutoka kabla ya hiyo ya mwaka jana. Na kama huwa unaangalia Disney channel huwa kuna series catoon za king lion nyingi tu. Sema film iliyotoka mwaka jana. Kuna film ilishatoka kabla long time tu.The Lion King si imetoka mwaka Jana?
Nadhani huo msemo upo unatumika kitambo sana.
Na simba yupo hivo hivo
View attachment 1327083
Sina hata huo muda wa kuangalia huyo mufasa mkuu.. nisimulieni tuu
2019 was a remake the first lion king imetoka 1994 nadhaniThe Lion King si imetoka mwaka Jana?
Nadhani huo msemo upo unatumika kitambo sana.
Na simba yupo hivo hivo
View attachment 1327083
asante sana.Ilikuwa ya mwaka 1994 na ilikuwa ni movie ambayo ni cartoon nafikiri utapata hata mda wa kuangalia (sio movie) ila hata maelezo tu
Ilikuwa ni movie walitengeneza $968.5m
Duniani na wengi sana tuliangalia
Sikushangai lakini kama hukuiangalia View attachment 1327084
Sent from my iPhone using Tapatalk
Kwa taarifa yako film ya kwanza ya Lion king ilitoka 1994 .Na Disney channel huwa wana series za king Lion nyingi tu. Hakuna matata,twende kiboko,utamu,sisi ni sawa na maneno kibao ya kiswahili yanazungumzwaAcha kunivunja mbavu dada yangu.
😀😀😀😀😀
You are right,girl.
When you dont know and you think you know. 🤣🤣🤣Nimemuuliza hapo ananipiga chenga mara ooh eti kaweka emoji ya simba so atakuwa kaangalia.. 😀😀😀
yaani umekazana utadhani hayo Maneno walivumbua hao wenye hiyo movie ..Kwa taarifa yako film ya kwanza ya Lion king ilitoka 1994 .Na Disney channel huwa wana series za king Lion nyingi tu. Hakuna matata,twende kiboko,utamu,sisi ni sawa na maneno kibao ya kiswahili yanazungumzwa
The Lion King si imetoka mwaka Jana?
Nadhani huo msemo upo unatumika kitambo sana.
Na simba yupo hivo hivo
View attachment 1327083
mbona unajisema dada khaaa😀😀😀When you dont know and you think you know. 🤣🤣🤣
sasa watu wamekazana na hiyo Lion King kana kwamba wao ndo walivumbua hilo neno..!Joyner lucas mbona naye alisema hivyo hivyo
Disney ndo walioipeleka hakuna matata to the World.yaani umekazana utadhani hayo Maneno walivumbua hao wenye hiyo movie ..
Achana na Huyo zwazwaKwa taarifa yako film ya kwanza ya Lion king ilitoka 1994 .Na Disney channel huwa wana series za king Lion nyingi tu. Hakuna matata,twende kiboko,utamu,sisi ni sawa na maneno kibao ya kiswahili yanazungumzwa
Wewe ndo umefanya la maana hapa..[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wabongo tunapenda ligi sanaaa
no wander huko villa park wazungu wamekimbia pg yao...
wabongo na wakenya wamevamiaaa
mtu hata u comment nukta unakula likes 1000.
Anyway
Ramos aliandika hivyo akimaanisha
'No troubles/problems'= 'Hakuna shida/matatizo'
Akimaanisha anashukuru amemaliza mwaka wa 2019 bila ya STRAIGHT red card...
kitu ambacho sio kawaida yakee
Kumbuka mpk sasa ana bookin 25 za red cards.
Sent using Jamii Forums mobile app
Yaani ungekuwa umeangalia hizo film na series wala usingejiuliza Ramos kajulia wapi hiyo slogan.mbona unajisema dada khaaa😀😀😀