Sergio Ramos katumia Kiswahili katika akaunti yake

Sergio Ramos katumia Kiswahili katika akaunti yake

unaijua film ya THE LION KING? Huo msemo kautoa humo.
The Lion King si imetoka mwaka Jana?
Nadhani huo msemo upo unatumika kitambo sana.
Na simba yupo hivo hivo
IMG_20200118_133004_968.JPG
 
The Lion King si imetoka mwaka Jana?
Nadhani huo msemo upo unatumika kitambo sana.
Na simba yupo hivo hivo
View attachment 1327083
King Lion ilishawahi kutoka kabla ya hiyo ya mwaka jana. Na kama huwa unaangalia Disney channel huwa kuna series catoon za king lion nyingi tu. Sema film iliyotoka mwaka jana. Kuna film ilishatoka kabla long time tu.
 
Sina hata huo muda wa kuangalia huyo mufasa mkuu.. nisimulieni tuu

Ilikuwa ya mwaka 1994 na ilikuwa ni movie ambayo ni cartoon nafikiri utapata hata mda wa kuangalia (sio movie) ila hata maelezo tu
Ilikuwa ni movie walitoengeneza $968.5m
Duniani na wengi sana tuliangalia
Sikushangai lakini kama hukuiangalia
Adjustments.jpg

Sent from my iPhone using Tapatalk
 
Ilikuwa ya mwaka 1994 na ilikuwa ni movie ambayo ni cartoon nafikiri utapata hata mda wa kuangalia (sio movie) ila hata maelezo tu
Ilikuwa ni movie walitengeneza $968.5m
Duniani na wengi sana tuliangalia
Sikushangai lakini kama hukuiangalia View attachment 1327084

Sent from my iPhone using Tapatalk
asante sana.
Mlioiangalia hongereni..
 
Acha kunivunja mbavu dada yangu.
😀😀😀😀😀
Kwa taarifa yako film ya kwanza ya Lion king ilitoka 1994 .Na Disney channel huwa wana series za king Lion nyingi tu. Hakuna matata,twende kiboko,utamu,sisi ni sawa na maneno kibao ya kiswahili yanazungumzwa
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wabongo tunapenda ligi sanaaa
no wander huko villa park wazungu wamekimbia pg yao...
wabongo na wakenya wamevamiaaa
mtu hata u comment nukta unakula likes 1000.

Anyway

Ramos aliandika hivyo akimaanisha

'No troubles/problems'= 'Hakuna shida/matatizo'

Akimaanisha anashukuru amemaliza mwaka wa 2019 bila ya STRAIGHT red card...
kitu ambacho sio kawaida yakee

Kumbuka mpk sasa ana bookin 25 za red cards.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
yaani umekazana utadhani hayo Maneno walivumbua hao wenye hiyo movie ..
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wabongo tunapenda ligi sanaaa
no wander huko villa park wazungu wamekimbia pg yao...
wabongo na wakenya wamevamiaaa
mtu hata u comment nukta unakula likes 1000.

Anyway

Ramos aliandika hivyo akimaanisha

'No troubles/problems'= 'Hakuna shida/matatizo'

Akimaanisha anashukuru amemaliza mwaka wa 2019 bila ya STRAIGHT red card...
kitu ambacho sio kawaida yakee

Kumbuka mpk sasa ana bookin 25 za red cards.

Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe ndo umefanya la maana hapa..

Victoire anasema Ramos kasema hivyo baada tu ya kuangalia Lion King..
 
Back
Top Bottom